Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Hawana majibu kwenye maswali ya logic kwa sababu Biblia ni kitabu cha imani, si kitabu cha logic. Imani haihitaji logic.Nashukuru mkuu ila siamini katika kusomea biblia kwasababu wapo waliosomea mpaka PhD na bado ukiwauliza maswali ya logic kuhusu biblia hawana majibu.
Na unavyozidi kuisomea ndivyo unavyozidi kutambua hilo.
Ukimsoma Dr. Kugel utaona hilo.