Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 89,019 Reaction score 156,726 Jul 13, 2025 #21 Malpighian said: Nashukuru mkuu ila siamini katika kusomea biblia kwasababu wapo waliosomea mpaka PhD na bado ukiwauliza maswali ya logic kuhusu biblia hawana majibu. Click to expand... Hawana majibu kwenye maswali ya logic kwa sababu Biblia ni kitabu cha imani, si kitabu cha logic. Imani haihitaji logic. Na unavyozidi kuisomea ndivyo unavyozidi kutambua hilo. Ukimsoma Dr. Kugel utaona hilo.
Malpighian said: Nashukuru mkuu ila siamini katika kusomea biblia kwasababu wapo waliosomea mpaka PhD na bado ukiwauliza maswali ya logic kuhusu biblia hawana majibu. Click to expand... Hawana majibu kwenye maswali ya logic kwa sababu Biblia ni kitabu cha imani, si kitabu cha logic. Imani haihitaji logic. Na unavyozidi kuisomea ndivyo unavyozidi kutambua hilo. Ukimsoma Dr. Kugel utaona hilo.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 13, 2025 #22 Aiseeeeeee
M Mzee wa kupambania JF-Expert Member Joined Aug 14, 2022 Posts 21,767 Reaction score 54,912 Jul 13, 2025 #23 Malpighian said: Yalikua magumu ila hakulaaniwa. Kuna utofauti wa kulaaniwa na kupitia maisha magumu. Click to expand... Neno la kulaaniwa maana yake nini tuanzie hapo kwanza
Malpighian said: Yalikua magumu ila hakulaaniwa. Kuna utofauti wa kulaaniwa na kupitia maisha magumu. Click to expand... Neno la kulaaniwa maana yake nini tuanzie hapo kwanza