Katika uumbaji wa Mwenyezi Mungu inawezekana kuna pahala alisahau au kosea wakati wa uumbaji.
Nawaza kwa upande wa mwanadamu/mwanaume hivi ni kwa nini hakuumbwa/zaliwa akiwa tayari ameshakwisha tahiriwa?
Inawezekana huenda Mungu alisahau au kosea au mnasemaje?
Huwa hakuna swali la kijinga duniani. Sina jibu mkuu "afsa usafiri na usafirishaji"!Mimi mwenyewe huwa najiuliza:Kwa nini Mungu hakuumba binadamu awe ameshazeeka kabisa?🤔Katika uumbaji wa Mwenyezi Mungu inawezekana kuna pahala alisahau au kosea wakati wa uumbaji.
Nawaza kwa upande wa mwanadamu/mwanaume hivi ni kwa nini hakuumbwa/zaliwa akiwa tayari ameshakwisha tahiriwa?
Inawezekana huenda Mungu alisahau au kosea au mnasemaje?
Mwanadamu mwanaume timilifu lazima azaliwe akiwa goviWewe ni govi mkuu
Yes, hii ilikuja enzi za abraham, alijitahiri yeye mwenyewe na akatahiri kila aliye ndani ya nyumba yake. Kila mtoto wa kiume lazma atahiriwe.Si kweli!
Hakuna ubaya kutotahiri na hakuna ubaya kutahiri. Kwan mungu aliumba na makusudi
Kwa wakristo au wayahudi Tohara ilitumika kama Agano kati ya Mungu na wao wakiwa njiani kurudi nchi ya Ahadi.
Hili lilikua suala la kimila zaidi na kimaagano.
Ingawa kuna baadhi ya dini au jamii zinachukulia ni ustaarabu
Ni Agano kati ya Ibrahimu na Mungu..Fatilia historia ya tohara
Ilianzia israel na nia yake ilikuwa ni kuwatofautisha wana wa israel na wa ulimwengu mzima ilikuwa ni mfano wa nduwi
(ni agano kati ya wana wa israel na Mungu)
Hili ni wazo kubwa sanaKatika uumbaji wa Mwenyezi Mungu inawezekana kuna pahala alisahau au kosea wakati wa uumbaji.
Nawaza kwa upande wa mwanadamu/mwanaume hivi ni kwa nini hakuumbwa/zaliwa akiwa tayari ameshakwisha tahiriwa?
Inawezekana huenda Mungu alisahau au kosea au mnasemaje?
Lakini ilikuwa symbol ya Utakatifu pia kabla paulo hajaja kuitoaSi kweli!
Hakuna ubaya kutotahiri na hakuna ubaya kutahiri. Kwan mungu aliumba na makusudi
Kwa wakristo au wayahudi Tohara ilitumika kama Agano kati ya Mungu na wao wakiwa njiani kurudi nchi ya Ahadi.
Hili lilikua suala la kimila zaidi na kimaagano.
Ingawa kuna baadhi ya dini au jamii zinachukulia ni ustaarabu
Wazi kubwa wapi!?..atakuja mwingine atasema kwa nini mtu hakuzaliwa na meno na akili ili ale maini moja kwa moja, mwingine atasema kwa nini kumpa tabu mwanamke kubeba mimba na kuzaa kwa uchungu badala ya Mungu kutoa kopi na kutushusha tu dunianiHili ni wazo kubwa sana
Kwani huko israel ndio wanaumbiwa watu?nao si wamezaliwa?Fatilia historia ya tohara