Buenos Aires
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,894
- 1,622
Ni uchafu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika uumbaji wa Mwenyezi Mungu inawezekana kuna pahala alisahau au kosea wakati wa uumbaji.
Nawaza kwa upande wa mwanadamu/mwanaume hivi ni kwa nini hakuumbwa/zaliwa akiwa tayari ameshakwisha tahiriwa?
Inawezekana huenda Mungu alisahau au kosea au mnasemaje?
Sijawahi yumbishwa kwenye Imani yangu...Ni silka ya binadamu kufafanua mambo Kwa utashi...ila nikimaliza naendelea na Imani yangu...Kwamaana hyo wewe hutaki kuishi for your own princple & rule.
It's fyn kwamaana uko ndani ya uhuru wako
Ila kama utasoma threads nyingine na ukasoma arguments hizi kwa kufikiria bhasi nafikiri utakaribishwa kwenye mtazaml mpya wa kimaisha, na utaelewa vitu vingi ambavyo vimeghubikwa na hii illusion ya Mungu.
Nakumbuka zamani ulikuwa mtu hard sana, but now i think you are skeptic about the idea of God
Ila soon ntawataarifu makatibu wakuandike
Infropreneur
mshamba_hachekwi
min -me
😁😁😁Kwamaana hyo wewe hutaki kuishi for your own princple & rule.
It's fyn kwamaana uko ndani ya uhuru wako
Ila kama utasoma threads nyingine na ukasoma arguments hizi kwa kufikiria bhasi nafikiri utakaribishwa kwenye mtazaml mpya wa kimaisha, na utaelewa vitu vingi ambavyo vimeghubikwa na hii illusion ya Mungu.
Nakumbuka zamani ulikuwa mtu hard sana, but now i think you are skeptic about the idea of God
Ila soon ntawataarifu makatibu wakuandike
Infropreneur
mshamba_hachekwi
min -me
Haya maswali yako umeandika hapa hayana point ya msingi ila swali la mleta mada ni zuri na linaeleweka na linahitaji majibu. Kama una jibu toa, kama huna usilibeze swali zuri la mtoa mada acha wanaoelewa wadadavueWazi kubwa wapi!?..atakuja mwingine atasema kwa nini mtu hakuzaliwa na meno na akili ili ale maini moja kwa moja, mwingine atasema kwa nini kumpa tabu mwanamke kubeba mimba na kuzaa kwa uchungu badala ya Mungu kutoa kopi na kutushusha tu duniani
Hulka...Ni silka ya binadamu
Je unamaana kwamba baada ya kufafanua mambo kwa utashi, na ukakuta imani yako ni potofu, utaendelea na imani yako potofu tu!?Sijawahi yumbishwa kwenye Imani yangu...Ni silka ya binadamu kufafanua mambo Kwa utashi...ila nikimaliza naendelea na Imani yangu...
Mkuu, Hakipo maana yake ni nini? Tunaposema kitu hakipo tunamaanisha nini?Kiukweli hapo unacheza na maneno tu.
Ndoto kwa ujumla wake ni kweli ipo, lakini kinachochezwa ndani yake ndiyo illusion yenyewe.
Unamaanisha ndoto ipo ila kisichokuwepo ni matukio ya ndoto. Sasa hakukuwa na tukio la kuokota pesa katika ndoto au hakukuwa na tukio la kuokota pesa katika ulimwengu wa mwili ila kwenye ndoto ambayo umesema ipo lilikuwepo au hakukuwa na tukio la kuokota pesa kabisa?Yaani kama umeota unaokota hela,
Ndoto inaweza thibitika kwa kuchunguza shughuli za ubongo kwa kutumia vifaa maalumu kwamba mtu flani anaota.
Lakini kuhusu kuokota hela ndiyo hiyo illusion yenyewe.
Udanganyifu katika ndoto ni udanganyifu au ni tukio?Ndoto ni shughuli inayotokea katika ubongo, na shughuli hiyo inaelezea udanganyifu ambao hautokei katika muda huo.
Illusion maana yake ni kitu kisichokuwepo?God ni illusion yenyewe.
Udanganyifu kwanini ilihali nimehisi na tukio likawa na impact yenye effect?Yani ukihisi kwamba kuna dude linakuangalia muda huo unafanya mambo yako, hapo upo katika udanganyifu.
Kama hujaona mantiki kwenye maswali yangu jua ufahamu wako mdogoHaya maswali yako umeandika hapa hayana point ya msingi ila swali la mleta mada ni zuri na linaeleweka na linahitaji majibu. Kama una jibu toa, kama huna usilibeze swali zuri la mtoa mada acha wanaoelewa wadadavue
Mkuu, Hakipo maana yake ni nini? Tunaposema kitu hakipo tunamaanisha nini?
Unamaanisha ndoto ipo ila kisichokuwepo ni matukio ya ndoto. Sasa hakukuwa na tukio la kuokota pesa katika ndoto au hakukuwa na tukio la kuokota pesa katika ulimwengu wa mwili ila kwenye ndoto ambayo umesema ipo lilikuwepo au hakukuwa na tukio la kuokota pesa kabisa?
Udanganyifu katika ndoto ni udanganyifu au ni tukio?
Illusion maana yake ni kitu kisichokuwepo?
Udanganyifu kwanini ilihali nimehisi na tukio likawa na impact yenye effect?
Hebu sema, ni swali lipi kati ya uliyouliza lina point?Kama hujaona mantiki kwenye maswali yangu jua ufahamu wako mdogo
Kwani nimeuliza lipi na lipi!?Hebu sema, ni swali lipi kati ya uliyouliza lina point?
Au mtoto wa binadam azaliwe na kutembea siku hiyo ya kuzaliwa, kama mtoto wa mbuzi.Huwa hakuna swali la kijinga duniani. Sina jibu mkuu "afsa usafiri na usafirishaji"!Mimi mwenyewe huwa najiuliza:Kwa nini Mungu hakuumba binadamu awe ameshazeeka kabisa?🤔