Blender
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 4,870
- 8,035
Kuna wamaasai nao wanafanya tohara, Je Ibrahim alikutana na wamaasai akawaimbia issue ya tohara?.Katika uumbaji wa Mwenyezi Mungu inawezekana kuna pahala alisahau au kosea wakati wa uumbaji.
Nawaza kwa upande wa mwanadamu/mwanaume hivi ni kwa nini hakuumbwa/zaliwa akiwa tayari ameshakwisha tahiriwa?
Inawezekana huenda Mungu alisahau au kosea au mnasemaje?
Je kiongozi wa wamaasai (raigwani) alikutana na Mungu, akamuelekeza namna ya kuliondoa govi.
Lakini wamaasai hawafanyi tohara Tu Kwa wanaume bali pia wanafanya kwa wanawake (ukeketaji).
Japo neno ukeketaji limeletwa na feminist
Je Haya yote tohara na ukeketaji nani aliwafundisha, AU ni Wao wenyewe Maasai waliona inafaa kufanya,
But why Maasai agundue kufanya tohara ashindwe kujenga nyumba nzuri ya kuishi?.
Ukweli ni Kwamba bado binadamu historical yetu hatuijui ipasavyo