Oppomall
JF-Expert Member
- Feb 8, 2017
- 3,683
- 3,966
Na akutokee uso kwa uso mpk ukiri kwa kinywa chako.Mungu hayupo.
Hakuna Mungu aliyeumba binadamu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na akutokee uso kwa uso mpk ukiri kwa kinywa chako.Mungu hayupo.
Hakuna Mungu aliyeumba binadamu.
Mungu huyo hawezi kunitokea kwa vile Hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.Na akutokee uso kwa uso mpk ukiri kwa kinywa chako.
Aliko Dangote ni Sala Tano mkuu.Hebu nitajie swala Tano wenye matrilion mkuu niko tayar kusililiza..
Na kwanini Anyime Mtu?
Kwani yeye si mpaji na Mola wa kila kiumbe kwanini Awe na Uwezo wa kumnyima hata kwa yule aliyo waumba..
Mkuu tusirudishane kwenye Problem of Evil..
Ambayo kila siku Kiranga Anawafundisha ila hamuelewi
Dah Sasa mbona kama ukatili?yaani nikiangalia kaboy kangu nikate na jiwe gumu haki nisingeweza,ningeacha tu amuue halafu na Mimi ninywe sumu😵💫😵💫Uko serious Haujui au Unatania?
Ilikuwa ni Amri ya Milele kwa Vizazi vyote vya Ibra..
Kuwa baada ya siku nane ya kuzaliwa lazima wakatwe....
Hakuna Yeyeto katika kizazi hicho atabaki salama asipotahiriwa..
Kama unakumbuka hata kipindi cha Petro na Paulo mabishana yalikuwa ni Nini na Kisa cha kukorofishanaa kilikuwa ni nini?
Sasa unakumbuka mtoto wa Musa kwanini alitaka kuuliwa na Mungu? Mpaka Mkewe musa "Sipora" ilibidi amtahiri mwanaye kwa Kutumia Jiwe ndo akaachwa salama..
Kutoka 4:24-26
View attachment 2889851
Pia Kitabu cha Ezekiel
Ezekieli 32:27 NENO
"Je, hawakulala na mashujaa wengine wasiotahiriwa waliouawa, ambao wameshuka kaburini wakiwa na silaha zao za vita, ambao panga zao ziliwekwa chini ya vichwa vyao na uovu wao juu ya mifupa yao? Adhabu kwa ajili ya dhambi zao ilikuwa juu ya mifupa yao, ingawa vitisho vya mashujaa hawa vilikuwa vimeenea hadi kwenye nchi ya walio hai."
Mkuu basi jifunze sana Viko vingi vinahitajika kuhojiwa
What created the universe that your enjoying today?Mungu huyo hawezi kunitokea kwa vile Hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
Mnatetea kiumbe kisicho kuwepo.
Fiction God, imaginations just an illusion.
Kwa hiyo kama agano lake lilikuwa yake na Israel mbona sisi jamii zingine tumevamia yasiyotuhusu au?Mungu hajawahi kukosea.
Mwanzo 17
11 Mtatahiriwa nyama ya magovi yenu, na jambo hilo litakuwa ishara ya agano kati ya mimi na ninyi.
12 Mtoto wa siku nane atatahiriwa kwenu, kila mwanamume katika vizazi vyenu, mzaliwa nyumbani, na mnunuliwa kwa fedha, kila mgeni asiyekuwa wa uzao wako.
13 Mzaliwa nyumbani mwako, na mnunuliwa kwa fedha yako, lazima atahiriwe; na agano langu litakuwa katika mwili wenu, kuwa agano la milele.
14 Na mwanamume mwenye govi asiyetahiriwa nyama ya govi lake, mtu yule atatengwa na watu wake; amelivunja agano langu.
Akili yako ni ndogo sana! binaadamu kila siku anaendelea kugundua aliyokuwa hayajui hapo awali, huenda siku moja tukajua faida ya mtoto kuzaliwa govi! kutokulijua jambo si makosa kwa hilo jambo kuwepo, makosa yapo katika ufinyu wa ujuzi wa asiyelijua.Katika uumbaji wa Mwenyezi Mungu inawezekana kuna pahala alisahau au kosea wakati wa uumbaji.
Nawaza kwa upande wa mwanadamu/mwanaume hivi ni kwa nini hakuumbwa/zaliwa akiwa tayari ameshakwisha tahiriwa?
Inawezekana huenda Mungu alisahau au kosea au mnasemaje?
Atakuwa kibamia....msubiri awe na mitatu chunguza viboy vinavyokatwa vikiwa na wiki kimjololo kinakua kidogooi kama kinjegereNawaza kumkata mtoto wa miezi 7 bado sijapata maamuzi
Ni kweli ila ukiwahesabu Hawafiki hata Kumi dunia nzima wanaofanana na Dangote..Aliko Dangote ni Sala Tano mkuu.
Hahaha ukinywa Sumu hamtumi malaika Kuja kuchukua Roho 🤣🤣🤣Dah Sasa mbona kama ukatili?yaani nikiangalia kaboy kangu nikate na jiwe gumu haki nisingeweza,ningeacha tu amuue halafu na Mimi ninywe sumu😵💫😵💫
Ina faida Gani kupigwa visu vyote hivyo?mbona kama Ukatili wa kijinsia?Mm nimetahiri bila gazni acheni mchezo nyiee malayoni
Visu tisaa vilinipitiaa zote na nikamaliZaa
Nishaiona hii.Hii akiona Kiranga na mfuasi wake mshamba_hachekwi watafurahi sana😁😁
Okay,japo point yako ya kwanza nilielewa sana.Ni kweli ila ukiwahesabu Hawafiki hata Kumi dunia nzima wanaofanana na Dangote..
Japo Dangote naye karithi utajiri kwa baba yake Mohamedi Dangote
atheism sio imani mkuu, hakuna wafuasiHii akiona Kiranga na mfuasi wake mshamba_hachekwi watafurahi sana😁😁
Mi sitaki kusoma argument zako siku hizi maana Huwa zinanifikirisha sanaNishaiona hii.
Mungu ni hadithi tumeitunga wenyewe tu.
Post in thread 'Kwanini Mungu hakumuumba mwanaume akiwa ametahiriwa?' Kwanini Mungu hakumuumba mwanaume akiwa ametahiriwa?
Yaani na wewe siku hizi umekuwa kama kaka yako...mi nakuangaliiaaaa nabaki kusema hiiiiiiiiiíi🙆🙆🙆😁😁atheism sio imani mkuu, hakuna wafuasi
ni kutokuwepo kwa imani😁
NiLakini ilikuwa symbol ya Utakatifu pia kabla paulo hajaja kuitoa
Una akili sana Jo ila unajidharau.Mi sitaki kusoma argument zako siku hizi maana Huwa zinanifikirisha sana