Mkuu ndiyo maana mafundisho ya madhehebu yanakataza kuhoji hoji sana uumbaji wa M/Mungu, kumbe walikuwa na maana!
Mkuu pamoja na usomi wako wote huo, haujui maana na kazi ya govi kwenye uume?, ngashangaa!
Elewa kuwa wewe uliyetahiriwa na yule mwenye govi, ule utamu (msisimko)anaoambulia kwenye tendo, yeye anafaidi zaidi kuliko wewe mjando ambaye ulishaota sugu.
Hilo la kwanza, la pili ni kwamba, binadamu nimnyama, aliumbwa uchi, hizi nguo ni teknolojia tu.
Kwa hiyo govi nia 'ala' ya kuhifadhia hiyo sehemu nyeti ili isiweze athiriwa na changamoto za kimazingira.
Kwanini haujiulizi kucha, zamkononi utasema za kujikunia, je za miguuni ni za nini, ndevu, mavuzi na manyoya ya mwilini ni ya nini.
Binadamu ni mnyama kama walivyo wanyama pori wengine