PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Utakujakuuliza kwanini hakuumbwa akiwa amevaa nguo, au akiwa tayari ameshashiba kiasi cha kutohitaji kula tena au utakuja kuuliza kwanini hakuumbwa na pumzi ya kumtosha maisha yake yote badala ya sasa anavyopomua kila sekundeKatika uumbaji wa Mwenyezi Mungu inawezekana kuna pahala alisahau au kosea wakati wa uumbaji.
Nawaza kwa upande wa mwanadamu/mwanaume hivi ni kwa nini hakuumbwa/zaliwa akiwa tayari ameshakwisha tahiriwa?
Inawezekana huenda Mungu alisahau au kosea au mnasemaje?