DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Kama lina faida kwanini aliagiza liondolewe na aliwaua wale waliokuwa hawajaondoaKabla ya kujiuliza kwa nini Mungu aliumba govi lazma tujiulize je, halina faida yoyote na kuna utofauti gani kati ambaye aliyenayo na ambae hana ukiachilia hii hali ya watu kuhisi aibu kama hawajatahiriwa