Kwanini Mungu hakumuumba mwanaume akiwa ametahiriwa?

Kwanini Mungu hakumuumba mwanaume akiwa ametahiriwa?

Ni sawa uulize kwanini Mungu kwanini hakukata kitovu cha mtoto wakati yupo tumboni ili akiwa anazaliwa asikatwe kitovu?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wewe unaweza kuthibitisha Kama hayupo?!
The problem of evil proves the omnipotent, omniscient and all benevolent God does not exist.

Nitakupa mchoro unaoelezea hili kutoka Epicurean Paradox ili uelewe vizuri.

epicurean_paradox.jpg
 
Na ukristu wangu sikuwahi kujua kama aliagiza watu wenye govi wauawe, au govi huchukuliwa kama hedhi kwa wanawake. Maana kitambo hicho, mwanamke haikaribii madhabahu akiwa mwezini kwa sababu ya "usafi"
Uko serious Haujui au Unatania?
Ilikuwa ni Amri ya Milele kwa Vizazi vyote vya Ibra..
Kuwa baada ya siku nane ya kuzaliwa lazima wakatwe....
Hakuna Yeyeto katika kizazi hicho atabaki salama asipotahiriwa..
Kama unakumbuka hata kipindi cha Petro na Paulo mabishana yalikuwa ni Nini na Kisa cha kukorofishanaa kilikuwa ni nini?

Sasa unakumbuka mtoto wa Musa kwanini alitaka kuuliwa na Mungu? Mpaka Mkewe musa "Sipora" ilibidi amtahiri mwanaye kwa Kutumia Jiwe ndo akaachwa salama..
Kutoka 4:24-26

Screenshot_20240131_165019_Biblia Takatifu.jpg

Pia Kitabu cha Ezekiel

Ezekieli 32:27 NENO

"Je, hawakulala na mashujaa wengine wasiotahiriwa waliouawa, ambao wameshuka kaburini wakiwa na silaha zao za vita, ambao panga zao ziliwekwa chini ya vichwa vyao na uovu wao juu ya mifupa yao? Adhabu kwa ajili ya dhambi zao ilikuwa juu ya mifupa yao, ingawa vitisho vya mashujaa hawa vilikuwa vimeenea hadi kwenye nchi ya walio hai."

Mkuu basi jifunze sana Viko vingi vinahitajika kuhojiwa
 
Katika uumbaji wa Mwenyezi Mungu inawezekana kuna pahala alisahau au kosea wakati wa uumbaji.

Nawaza kwa upande wa mwanadamu/mwanaume hivi ni kwa nini hakuumbwa/zaliwa akiwa tayari ameshakwisha tahiriwa?

Inawezekana huenda Mungu alisahau au kosea au mnasemaje?
Hahaaaaaaaa,mbingu na dunia aliziumba,asahau kitu kidogo Kama hicho.Mungu aliumba akamaliza tunayo kazi ya kujiumba kuwa Kama yeye Mfano Yesu alijiumba akawa Kama Mungu.
 
Fatilia historia ya tohara
Ilianzia israel na nia yake ilikuwa ni kuwatofautisha wana wa israel na wa ulimwengu mzima ilikuwa ni mfano wa nduwi
(ni agano kati ya wana wa israel na Mungu)
Sababu kubwa ilikuwa ni kujitakasa mbele za Mungu. Lakini sababu nyingine ni ishara ya unyenyekevu mbele ya Mungu, kwakuwa kitendo hicho kinaambatana na upotevu wa damu mwilini na hivyo kufanana na na kutoa kafara ya mnyama!
 
The problem of evil proves the omnipotent, omniscient and all benevolent God does not exist.

Nitakupa mchoro unaoelezea hili kutoka Epicurean Paradox ili uelewe vizuri.

View attachment 2889854
Don't rely on assumption,put yourself to the test.whether there's God or not.copying the ideas of others is none sense but what is your ideas about God?
 
Don't rely on assumption,put yourself to the test.whether there's God or not.copying the ideas of others is none sense but what is your ideas about God?
When you tell me to not rely on assumption, ask yourself, do you not have any assumption?

First of all, you are assuming I exist. So, you are not living by your own rule.

When you talk against copying the ideas of others, did you make the alphabet you are using? Did you create the idea of God? Were you not taught all these things by others?

It does not matter if one copied an idea from others or not, all it maters is that the idea is right.

One can adopt the right idea from others and take it, otherwise, we would be inventing the wheel with everyone that grows up, we don't do that, the wheel was already invented, we go on to invent other things.

My idea is that God the all knowing, all powerful and all loving does not exist.

The existence of that God is contradicted by the problem of evil.

If you dispute that, show any fault with the problem of evil and let us discuss that.

You are allowed to use others ideas, as long as you understand them and they make sense to build your points.
 
[emoji16][emoji16][emoji16] ww fala sana
Hujakosea, maana fala kwa kiarabu ni mkulima 😆😆😆😂😂😂🤣🤣🤣🚬🚬🚬🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️
 
I believe in God as the Bible says taste and see that God is good.,🙏🙏🙏🙏
In this I can speak with my Lord
And every thing with my Lord.
Can a wicked man speak with God?
Can the wicked man prove the existence of God? Unless he wash himself from sinners.
There is God because I create myself in my mind.
 
Hujakosea, maana fala kwa kiarabu ni mkulima 😆😆😆😂😂😂🤣🤣🤣🚬🚬🚬🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️
😁😁😁😁😁 Umenivunja mbavu mkuu kwamba inawezekana tako ni moja tu😁😁😁
 
Back
Top Bottom