Kwanini Mungu hakumuumba mwanaume akiwa ametahiriwa?


Unauhakika Adam hakuwa ametahiriwa kweli?
 
Sijawahi yumbishwa kwenye Imani yangu...Ni silka ya binadamu kufafanua mambo Kwa utashi...ila nikimaliza naendelea na Imani yangu...
 
😁😁😁
 
Wazi kubwa wapi!?..atakuja mwingine atasema kwa nini mtu hakuzaliwa na meno na akili ili ale maini moja kwa moja, mwingine atasema kwa nini kumpa tabu mwanamke kubeba mimba na kuzaa kwa uchungu badala ya Mungu kutoa kopi na kutushusha tu duniani
Haya maswali yako umeandika hapa hayana point ya msingi ila swali la mleta mada ni zuri na linaeleweka na linahitaji majibu. Kama una jibu toa, kama huna usilibeze swali zuri la mtoa mada acha wanaoelewa wadadavue
 
Sijawahi yumbishwa kwenye Imani yangu...Ni silka ya binadamu kufafanua mambo Kwa utashi...ila nikimaliza naendelea na Imani yangu...
Je unamaana kwamba baada ya kufafanua mambo kwa utashi, na ukakuta imani yako ni potofu, utaendelea na imani yako potofu tu!?
 
Kiukweli hapo unacheza na maneno tu.

Ndoto kwa ujumla wake ni kweli ipo, lakini kinachochezwa ndani yake ndiyo illusion yenyewe.
Mkuu, Hakipo maana yake ni nini? Tunaposema kitu hakipo tunamaanisha nini?
Yaani kama umeota unaokota hela,

Ndoto inaweza thibitika kwa kuchunguza shughuli za ubongo kwa kutumia vifaa maalumu kwamba mtu flani anaota.

Lakini kuhusu kuokota hela ndiyo hiyo illusion yenyewe.
Unamaanisha ndoto ipo ila kisichokuwepo ni matukio ya ndoto. Sasa hakukuwa na tukio la kuokota pesa katika ndoto au hakukuwa na tukio la kuokota pesa katika ulimwengu wa mwili ila kwenye ndoto ambayo umesema ipo lilikuwepo au hakukuwa na tukio la kuokota pesa kabisa?
Ndoto ni shughuli inayotokea katika ubongo, na shughuli hiyo inaelezea udanganyifu ambao hautokei katika muda huo.
Udanganyifu katika ndoto ni udanganyifu au ni tukio?
God ni illusion yenyewe.
Illusion maana yake ni kitu kisichokuwepo?
Yani ukihisi kwamba kuna dude linakuangalia muda huo unafanya mambo yako, hapo upo katika udanganyifu.
Udanganyifu kwanini ilihali nimehisi na tukio likawa na impact yenye effect?
 
Isingekuwa adamu kuanguka dhambini na wifematerial wake Eva, hadi leo dunia nzima wanaume tungekuwa na magovi.


Inaonekana kutahiri ni matokeo ya dhambi.
 
Haya maswali yako umeandika hapa hayana point ya msingi ila swali la mleta mada ni zuri na linaeleweka na linahitaji majibu. Kama una jibu toa, kama huna usilibeze swali zuri la mtoa mada acha wanaoelewa wadadavue
Kama hujaona mantiki kwenye maswali yangu jua ufahamu wako mdogo
 
Uhuru wa habari umezidi kama mnaanza kuhoji kazi yake mola. Mwisho mtauliza kwa nini k hakuweka kizibo. Daaaah
 
Ila nyie wajaluo mna matatizo, na mwenzio Odinga juz alikuwa anatetea magovi aloo
 

Unaelewa ndoto ni kitu gani?
 
Mimi tangu kujitambua nilijua tumezaliwa hivi! Kumbe kuna kitu kinafunika kwa mbele hah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…