Kwanini Museveni hotuba zake nyingi zinaleta sense kuliko za marais wengi wa Afrika!

Mr Chromium

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2020
Posts
2,761
Reaction score
3,835
Wakuu,
Kama utakuwa umefatilia speech za huyu mzee utakuwa umegundua kitu.

-Anaongea kwa masihara lakini ujumbe unaokuwepo ni mzito na unaleta sense.

📌Sikia akiongelea mgogoro wa waarabu wa Sudan
📌Akiongea kuhusu ukabila uganda
📌
Yaan unacheka lakini ujumbe pia unafika

NB: Mimi si shabiki wake na wala sifurahishwi yy kutawala uganda kwa mkono wa chuma.Lakin jamaa anaweza kua ana akili nyingi kwa kumpima anachoongea.
 
Hamna Raisi hopeless kama Mseveni wa Uganda, ni hypocrite anacho ongea ni tofauti na anacho waza na kufanya.
 
Hamna Raisi hopeless kama Mseveni wa Uganda, ni hypocrite anacho ongea ni tofauti na anacho waza na kufanya.
ndio nafahamu na mm simsifii kwamba n mtu mzuri!
Ila anachoongea mara nyingi kinaleta sense watu wakimsikiliza
 
Huyu mzee akiongea ulimi wake hauvishi CONDOM
 
Sema tuu lugha anayoitumia ndo unaielewa, mimi naona rais wa misri ndo zinavutia zaidi ila ànatumia kiarabu wewe huelewi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…