The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,900
- 18,751
Naona kama vile kila siku zinavyosonga mbele kama vile kampeni za CCM zitakosa mvuto kabisa.
Hapa sababu kubwa ni Maza na Nchimbi kutokuwa waongeaji au wapiga kampeni wazuri.
Kwa kweli Maza anaoongea kama vile anahutubia mkutano wa ziara badala ya kuongea kama vile anapiga kampeni.
Na haya mambo ya matrector million 10, akina Kangi Lugola kukata viuno jukwaani, mwingine kudai Watawaloga wanaomkataa Maza inawafanya waonekane hawana sera wala jipya kwa miaka 5 ijayo.
The fall of CCM 1995-2025.✍️📌Naona kama vile kila siku zinavyosonga mbele kama vile kampeni za CCM zitakosa mvuto kabisa.
Hapa sababu kubwa ni Maza na Nchimbi kutokuwa waongeaji au wapiga kampeni wazuri.
Kwa kweli Maza anaoongea kama vile anahutubia mkutano wa ziara badala ya kuongea kama vile anapiga kampeni.
Na haya mambo ya matrector million 10, akina Kangi Lugola kukata viuno jukwaani, mwingine kudai Watawaloga wanaomkataa Maza inawafanya waonekane hawana sera wala jipya kwa miaka 5 ijayo.
Wote hao ni mafisadi tupuNaona kama vile kila siku zinavyosonga mbele kama vile kampeni za CCM zitakosa mvuto kabisa.
Hapa sababu kubwa ni Maza na Nchimbi kutokuwa waongeaji au wapiga kampeni wazuri.
Kwa kweli Maza anaoongea kama vile anahutubia mkutano wa ziara badala ya kuongea kama vile anapiga kampeni.
Na haya mambo ya matrector million 10, akina Kangi Lugola kukata viuno jukwaani, mwingine kudai Watawaloga wanaomkataa Maza inawafanya waonekane hawana sera wala jipya kwa miaka 5 ijayo.
Sahihi snUsizinguke bure, cdm kugoma kushiriki huo uhuno automatically kumeondoa mvuto wa huo uchaguzi. Na hapa ni mwanzo, ikifika mwisho wa mwezi hizo kampeni zitakuwa zimepotea mvuto jumla.
Subiri watakapokiwa wanaapishwa napo useme, sherehe haikunoga! Ahahahahaha!!Naona kama vile kila siku zinavyosonga mbele kama vile kampeni za CCM zitakosa mvuto kabisa.
Hapa sababu kubwa ni Maza na Nchimbi kutokuwa waongeaji au wapiga kampeni wazuri.
Kwa kweli Maza anaoongea kama vile anahutubia mkutano wa ziara badala ya kuongea kama vile anapiga kampeni.
Na haya mambo ya matrector million 10, akina Kangi Lugola kukata viuno jukwaani, mwingine kudai Watawaloga wanaomkataa Maza inawafanya waonekane hawana sera wala jipya kwa miaka 5 ijayo.
Usizinguke bure, cdm kugoma kushiriki huo uhuno automatically kumeondoa mvuto wa huo uchaguzi. Na hapa ni mwanzo, ikifika mwisho wa mwezi hizo kampeni zitakuwa zimepotea mvuto jumla.
Kwasbabu Mama hana mvuto anashindana na nani?
Ikulu watu hawaendi kwa mvuto bali sera!!
Kampeini yenyewe inasema kazi & UTUMBO sasa hapo itavutia nn labda inziSera za kununua matrector million 10?
Yaani kila kukicha munakuja na uzushi mpyaNaona kama vile kila siku zinavyosonga mbele kama vile kampeni za CCM zitakosa mvuto kabisa.
Hapa sababu kubwa ni Maza na Nchimbi kutokuwa waongeaji au wapiga kampeni wazuri.
Kwa kweli Maza anaoongea kama vile anahutubia mkutano wa ziara badala ya kuongea kama vile anapiga kampeni.
Na haya mambo ya matrector million 10, akina Kangi Lugola kukata viuno jukwaani, mwingine kudai Watawaloga wanaomkataa Maza inawafanya waonekane hawana sera wala jipya kwa miaka 5 ijayo.
*tractor, we ulijua wapiga kura wanaangalia sura?Sera za kununua matrector million 10?
Sasa unafunga wapinzani wako kunyongwa halafu unapita mwenyewe kufanya kampeni, unagombea nini???Naona kama vile kila siku zinavyosonga mbele kama vile kampeni za CCM zitakosa mvuto kabisa.