Kwanini muunganiko wa Samia na Nchimbi umekosa mvuto?

Write your reply...chuli huleta upofu hivyowezi ona jema au zulili lolote kwa unae mchukia.
 
Naona kama vile kila siku zinavyosonga mbele kama vile kampeni za CCM zitakosa mvuto kabisa.

Hapa sababu kubwa ni Maza na Nchimbi kutokuwa waongeaji au wapiga kampeni wazuri.

Kwa kweli Maza anaoongea kama vile anahutubia mkutano wa ziara badala ya kuongea kama vile anapiga kampeni.

Na haya mambo ya matrector million 10, akina Kangi Lugola kukata viuno jukwaani, mwingine kudai Watawaloga wanaomkataa Maza inawafanya waonekane hawana sera wala jipya kwa miaka 5 ijayo.

Mungu alishawakataa, ni swala la muda tu. Yatathibitika.

JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Naona kama vile kila siku zinavyosonga mbele kama vile kampeni za CCM zitakosa mvuto kabisa.

Hapa sababu kubwa ni Maza na Nchimbi kutokuwa waongeaji au wapiga kampeni wazuri.

Kwa kweli Maza anaoongea kama vile anahutubia mkutano wa ziara badala ya kuongea kama vile anapiga kampeni.

Na haya mambo ya matrector million 10, akina Kangi Lugola kukata viuno jukwaani, mwingine kudai Watawaloga wanaomkataa Maza inawafanya waonekane hawana sera wala jipya kwa miaka 5 ijayo.
Matrekta millioni 10! Kweli kaahidi hayo. Karibu trekta moja kwa kila mkulima / wakulima watatu Obvious huku ni kuropoka.
 
Naona kama vile kila siku zinavyosonga mbele kama vile kampeni za CCM zitakosa mvuto kabisa.

Hapa sababu kubwa ni Maza na Nchimbi kutokuwa waongeaji au wapiga kampeni wazuri.

Kwa kweli Maza anaoongea kama vile anahutubia mkutano wa ziara badala ya kuongea kama vile anapiga kampeni.

Na haya mambo ya matrector million 10, akina Kangi Lugola kukata viuno jukwaani, mwingine kudai Watawaloga wanaomkataa Maza inawafanya waonekane hawana sera wala jipya kwa miaka 5 ijayo.
Mvuto ni mkubwa sana
KWa Wenye akili
 
Naona kama vile kila siku zinavyosonga mbele kama vile kampeni za CCM zitakosa mvuto kabisa.

Hapa sababu kubwa ni Maza na Nchimbi kutokuwa waongeaji au wapiga kampeni wazuri.
Ni kwa sababu hawaamini wanachosema. Wao wenyewe wanajua wanaongea uongo. Wanahitaji madaraka kwa sababu maslahi binafsi familia zao, mtandao wao na sio kusaidia wananchi wa Tanzania. Ndio maana hawana mvuto.
 
Naona kama vile kila siku zinavyosonga mbele kama vile kampeni za CCM zitakosa mvuto kabisa.

Hapa sababu kubwa ni Maza na Nchimbi kutokuwa waongeaji au wapiga kampeni wazuri.

Kwa kweli Maza anaoongea kama vile anahutubia mkutano wa ziara badala ya kuongea kama vile anapiga kampeni.

Na haya mambo ya matrector million 10, akina Kangi Lugola kukata viuno jukwaani, mwingine kudai Watawaloga wanaomkataa Maza inawafanya waonekane hawana sera wala jipya kwa miaka 5 ijayo.
Endapo LISSU angekuwa kwenye Ballot, hakika niwaeleze kwamba LISSU angeshinda Uarais saa 4 asubuhi.
 
Chadema hawakugoma kushiriki. Technically, CCM na serikali yake wamewaonfoa Chadema kwenye box la kura kwa kukifungia chama kufanya kazi na kumpa Mwenyekiti kesi ya Uhaini.
Hapana, wamegoma kusaini kanuni za maadili. Na usiposaini kanuni za maadili huwezi kushiriki uchaguzi.
 
Mtu umekuwa Rais Kwa miaka minne unaomba uchaguliwe Ili uruhusu maiti zitoke bila malipo😁😁😁.CCM wanaahidi matrekta Milioni 10 ! Sijui wanachukuliaje wananchi
Wameshindwa hata kuangalia anayoyafanya rais wa Burkina Faso ndio wayatumie kwenye kampuni😂😂
 
Naona kama vile kila siku zinavyosonga mbele kama vile kampeni za CCM zitakosa mvuto kabisa.

Hapa sababu kubwa ni Maza na Nchimbi kutokuwa waongeaji au wapiga kampeni wazuri.

Kwa kweli Maza anaoongea kama vile anahutubia mkutano wa ziara badala ya kuongea kama vile anapiga kampeni.

Na haya mambo ya matrector million 10, akina Kangi Lugola kukata viuno jukwaani, mwingine kudai Watawaloga wanaomkataa Maza inawafanya waonekane hawana sera wala jipya kwa miaka 5 ijayo.
Power of Incumbent
 
Mmeamuaje sasa? Kila siku mnalalamika hamfanyi maamuzi hadi watatawala mikaka 100 ijayo.

Huku hatuna wale wa kujitoa muhanga?

Basi hata Drone za plastiki.
 
Naomba kueleweshwa au kueleimishwa, ni nini dhana ya kuwasomba wananchi kwa malori, kwa mabasi, na sasa tumeona hata treni inabeba wananchi, dhana yake ni nini, kuwahadaa wananchi kwamba chama kinakubalika, au ni kumdanganya mgombea aone kwamba anakubalika na wananchi. Kila nikitafakari sipati majibu. Najaribu kuona mkoa wa morogoro mjini, mbona idadi ya watu wa mjini pekee wanaweza kuujaza uwanja bila malori kutumika>
Ni kwamba hakuna tena nguvu ya ushawishi kwa maendeleo yaliyofanyika?
Kama ni sahihi tuendelee kufanya hivyo lkn kama sio sahihi tutafakari. Ni mawazo yangu tu
 
Naona kama vile kila siku zinavyosonga mbele kama vile kampeni za CCM zitakosa mvuto kabisa.

Hapa sababu kubwa ni Maza na Nchimbi kutokuwa waongeaji au wapiga kampeni wazuri.

Kwa kweli Maza anaoongea kama vile anahutubia mkutano wa ziara badala ya kuongea kama vile anapiga kampeni.

Na haya mambo ya matrector million 10, akina Kangi Lugola kukata viuno jukwaani, mwingine kudai Watawaloga wanaomkataa Maza inawafanya waonekane hawana sera wala jipya kwa miaka 5 ijayo.
Kwa kweli Maza anaoongea kama vile anahutubia mkutano wa ziara badala ya kuongea kama vile anapiga kampeni.
 
Naona kama vile kila siku zinavyosonga mbele kama vile kampeni za CCM zitakosa mvuto kabisa.

Hapa sababu kubwa ni Maza na Nchimbi kutokuwa waongeaji au wapiga kampeni wazuri.

Kwa kweli Maza anaoongea kama vile anahutubia mkutano wa ziara badala ya kuongea kama vile anapiga kampeni.

Na haya mambo ya matrector million 10, akina Kangi Lugola kukata viuno jukwaani, mwingine kudai Watawaloga wanaomkataa Maza inawafanya waonekane hawana sera wala jipya kwa miaka 5 ijayo.

Na haya mambo ya matrector million 10, akina Kangi Lugola kukata viuno jukwaani, mwingine kudai Watawaloga wanaomkataa Maza inawafanya waonekane hawana sera wala jipya kwa miaka 5 ijayo.📌🔨👌🏿
 
Naona kama vile kila siku zinavyosonga mbele kama vile kampeni za CCM zitakosa mvuto kabisa.

Hapa sababu kubwa ni Maza na Nchimbi kutokuwa waongeaji au wapiga kampeni wazuri.

Kwa kweli Maza anaoongea kama vile anahutubia mkutano wa ziara badala ya kuongea kama vile anapiga kampeni.

Na haya mambo ya matrector million 10, akina Kangi Lugola kukata viuno jukwaani, mwingine kudai Watawaloga wanaomkataa Maza inawafanya waonekane hawana sera wala jipya kwa miaka 5 ijayo.
Hata Nchimbi huongea kama anasoma Taarifa ya Habari yupo kama Dr Shain wa Zanzibar hawana mvuto
 
Nakumbuka kampeni za jiwe zilikua zina mvuto,huchoki kumsikiliza.
Ila huyu maza na nchimbi hata hakuna mtu ana time nao.
 
Naona kama vile kila siku zinavyosonga mbele kama vile kampeni za CCM zitakosa mvuto kabisa.

Hapa sababu kubwa ni Maza na Nchimbi kutokuwa waongeaji au wapiga kampeni wazuri.

Kwa kweli Maza anaoongea kama vile anahutubia mkutano wa ziara badala ya kuongea kama vile anapiga kampeni.

Na haya mambo ya matrector million 10, akina Kangi Lugola kukata viuno jukwaani, mwingine kudai Watawaloga wanaomkataa Maza inawafanya waonekane hawana sera wala jipya kwa miaka 5 ijayo.
Kwa sababu ni wauwaji, kilio cha Watanzania kimewalaani
 
Back
Top Bottom