Kwanini muunganiko wa Samia na Nchimbi umekosa mvuto?

CCM imeamua kujizika kwa kuruhusu uyu Samia kugombea URAISI, CCM ilikuwa inaenda kufa zaman, Magufuli akaja kuizindua kama zile mashine za kustua moyo mtu anapotaka kufa, Moyo ukawa umestuka kwa mbali uhai unakuja, mara Samia akaingia, Moyo unaenda kuzima, na anagombea awamu hii kwa mabavu ndo kabisa anaenda kuizika CCM, maana awamu ijayo kwa asilimia 💯, inaenda kuyatinganya zaidi, damu zitamwagwa sana, ufisadi utashamiri mara mia ya sasa.

yaani namuonea huruma uyo atakayekuja kugombea Uraisi ikiwa Chadema wako huru, na mambo kurekebishwa..yaani hii sioni CCM ikidumu kwenye vizazi vichache baadae, kwasasa inatumia jeshi ila hii ina mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…