ngoja wajuzi waje
swali lingine , ni nini hutokea mpaka mvua inanyesha kisha
inakata , kishaa inakuja kunyesha tena kesho yake au muda mwingine
au nayo huwa inachoka kunyesha mfano siku kadhaa inanyesha tyuuuu
bila ya kukata.
Jamani magreat thinkers tuje tena hapa,
Eti wakuu wasomi ni kwanini mvua unyesha kuanzia usawa mawingu meupe kwenda chini ardhini tu na kwa nini hainyeshi kuelekea anga ya blue? Yaani siku zote ukitoka usawa wa mawingu meupe kuelekea juu anga la bluu hakunaga mvua, why?
Karibuni wataalamu.

Mvua inayofika Duniani inatengenezwa kwa kwenye mawingu ya chini kabisa haya yanaitwa Stratus yapo umbali wa takribani mita 2000 au chini ya hapo kutoka ardhini.
Kwanza ujue namna mvua inavotengenezwa. Kama alivosema jamaa hapo juu, inatengenezwa na mawingu, yaliotokana na pepo zinazobeba unyevu toka Ardhini kisha kupanda nayo juu. Kumbuka kadri unavoiacha ardhi joto hushuka.
Unyevu ukifika juu katika ubaridi unakuwa barafu kwa kushikamana na vumbi. Condense . Hapi ndio mwazo wa mvua.
Sasa kuliingia swali lako ni hivi, baada ya mawingo haya kuna mawingu juu zaidi haya yanaitwa alto stratus, yanatoa barafu na ile tunaita snow ila hazifiki duniani. Yapo mita kama 6000
Kisha kuna mawingo ya juu zaidi kama mita 6500+ haya yapo clear kabisa. Hayatoi mvua wala snow.
Nadhan nimejitahd sana maana kuandika kiswahili mambo ya kimasomo haya 100% ni kazi
In a serious note,any type of cloud without a combination with Omnibus type of cloud you cant get rain from it.
Omnibus is a really rain clouds.
Jamani magreat thinkers tuje tena hapa,
Eti wakuu wasomi ni kwanini mvua unyesha kuanzia usawa mawingu meupe kwenda chini ardhini tu na kwa nini hainyeshi kuelekea anga ya blue? Yaani siku zote ukitoka usawa wa mawingu meupe kuelekea juu anga la bluu hakunaga mvua, why?
Karibuni wataalamu.
Hehe swali rahisi sana,
Mvua inanyesha kuanzia usawa wa mawingu sababu mawingu yenyewe ndiyo mvua. Maji haya yaliyopo ardhini kawaida hua hugeuka kua mvuke na hupanda juu, chukua mfano maji ya bahari na mito, jua linapiga muda wote, yale maji yana-evaporate yanapanda juu, kule juu kuna baridi, ule mvuke unapoozwa na kugeuka kua mawingu, mawingu yanageuka kua droplets za maji ambayo yanarudi tena chini. Ndivyo mzunguko wa maji ulivyo siku zote.
Mpwa Kwenye Ule Uzi Nilikushauri Lakini!!
Jamii forum inaingiwa na kila mtu, waliosoma na wasiosoma, wakubwa kwa wadogo kuna wakati tunahtaji lugha rahisi kueleweka na kila mtu kisha likizaliwa swali mada inazidi kujichimba yenyewe. Kwanza izo Omnibus ndio nn? Kwenye mawingu
Tatizo la jamii forum ni kila mtu kujifanya yupo deep na ndio maana kupata maandiko ya kimasomo kwa kiswahili ni kazi sana.
Alafu sisi walimu tuna mfumo wa rahsi kwenda ngumu yan simple to complex, hatuezi rukia complex alafu hii mada ikatoa elimu.
Mtihani wa hesabu hata form six usishangae ukaanza n MAGAZIJUTO
Mvua inayofika Duniani inatengenezwa kwa kwenye mawingu ya chini kabisa haya yanaitwa Stratus yapo umbali wa takribani mita 2000 au chini ya hapo kutoka ardhini.
Kwanza ujue namna mvua inavotengenezwa. Kama alivosema jamaa hapo juu, inatengenezwa na mawingu, yaliotokana na pepo zinazobeba unyevu toka Ardhini kisha kupanda nayo juu. Kumbuka kadri unavoiacha ardhi joto hushuka.
Unyevu ukifika juu katika ubaridi unakuwa barafu kwa kushikamana na vumbi. Condense . Hapi ndio mwazo wa mvua.
Sasa kuliingia swali lako ni hivi, baada ya mawingo haya kuna mawingu juu zaidi haya yanaitwa alto stratus, yanatoa barafu na ile tunaita snow ila hazifiki duniani. Yapo mita kama 6000
Kisha kuna mawingo ya juu zaidi kama mita 6500+ haya yapo clear kabisa. Hayatoi mvua wala snow.
Nadhan nimejitahd sana maana kuandika kiswahili mambo ya kimasomo haya 100% ni kazi
Sasa Mnamchanganya K 4 Life!