Kwanini mvua inanyesha chini ya mawingu meupe tu na sio juu kuelekea anga ya blue?

Kwanini mvua inanyesha chini ya mawingu meupe tu na sio juu kuelekea anga ya blue?

Jamii forum inaingiwa na kila mtu, waliosoma na wasiosoma, wakubwa kwa wadogo kuna wakati tunahtaji lugha rahisi kueleweka na kila mtu kisha likizaliwa swali mada inazidi kujichimba yenyewe. Kwanza izo Omnibus ndio nn? Kwenye mawingu

Tatizo la jamii forum ni kila mtu kujifanya yupo deep na ndio maana kupata maandiko ya kimasomo kwa kiswahili ni kazi sana.

Alafu sisi walimu tuna mfumo wa rahsi kwenda ngumu yan simple to complex, hatuezi rukia complex alafu hii mada ikatoa elimu.

Mtihani wa hesabu hata form six usishangae ukaanza n MAGAZIJUTO

teacher lete point bana acha story
 
wakuu bado bado hamjajibu hoja yaani bado kabisa hamjaeleza kwa nini juu ya mawingu meupe mvua hainyeshi au kwa nini mvua hainyeshi kuelekea kwenye anga la bluu?
 
mkuu ukipanda ndege wakati mvua inanyesha ukiwa chini ya mawingu meupe utaiona mvua lakini mkiyapita na kuelekea juu ya anga la bluu utakuta kukavu kabisa hakuna mvua,why?


Mnaulizana wenyewe?
 
Kumbe wengine mpo kutafta thread zenu kuwa na reply nyingi
 
Leo hujakutana na wale wanyama wa ajabu?
 
Aina za mawingu.....
Mawingu mdaa,
Mawingu moshi,
Mawingu kichuguu,
Mawungu ng'amba. Hiyo jografia darasa la tano. Sio mawingu yote yanasababisha mvua.
 
Aina za mawingu.....
Mawingu mdaa,
Mawingu moshi,
Mawingu kichuguu,
Mawungu ng'amba. Hiyo jografia darasa la tano. Sio mawingu yote yanasababisha mvua.

sasa kati ya haya mawingu ni yapi yanasababisha mvua? na kwa nini yawe hayo?
 
Jamani magreat thinkers tuje tena hapa,

Eti wakuu wasomi ni kwanini mvua unyesha kuanzia usawa mawingu meupe kwenda chini ardhini tu na kwa nini hainyeshi kuelekea anga ya blue? Yaani siku zote ukitoka usawa wa mawingu meupe kuelekea juu anga la bluu hakunaga mvua, why?

Karibuni wataalamu.

Swali hili ni dhibitisho kuwa elimu ya Tanzania imeporomoka sana! Kwanza ilishasemwa hapa kuwa hakuna anga ya blue Na bado swali lako unaweka anga ya blue. Enzi hizo elimu ilipokuwa bora tukiwa darasa la saba tulikuwa tuna idea namna mvua inavyotengenezwa. Kujibu swali lako acha nikuulize swali: kwa nini mtu akianguka kwenye mti huelekea ardhini na sio juu kwenye anga za blue?
 
Back
Top Bottom