Kwanini mvua inanyesha chini ya mawingu meupe tu na sio juu kuelekea anga ya blue?

Kwanini mvua inanyesha chini ya mawingu meupe tu na sio juu kuelekea anga ya blue?

nguvu za mvutano? zipi hizo mkuu?

Zipo chini ya dunia hii tuanayoishi.nikama sumaku ndio maana hata wewe ukipanda juu unaanguka chini wanaita force of gravity kwa kitaalamu.kitu chochite kinavutwa Na nguvu hizo.lakini zinaishia kwenye layer za juu. Huko hamna kitu
 
yaaani kabisa mkuu sielewi nichukue lipi na niache lipi, kila mtu hapa anashusha tu data zake nyingine original nyingine fake tupu

Sasa wewe umeuliza Swali ikiwa na maana hujui na unahitaji msaada,


Swali,

Umejuaje kuwa reply zingine ni Original na zingine ni Fake? Umewezaje kuzipambanua fake na Original?

Umeshaambiwa kuwa Mawingu meupe ndio hutengeneza Mvua na mvua hushuka huku ardhini,sasa hiyo mvua ya juu ya mawingu meupe unataka inyeshe kwa kutengenezwa na Mawingu gani?!
 
Hayupo serious huyo ila anataka mabishano ya vijiwe vya kahawa.
 
mkuu ukipanda ndege wakati mvua inanyesha ukiwa chini ya mawingu meupe utaiona mvua lakini mkiyapita na kuelekea juu ya anga la bluu utakuta kukavu kabisa hakuna mvua,why?

mkiambiwa Mungu yupo na anatenda mambo ya ajabu yasiyo elezeka mnakataa, watakuja hapa watu wanajifanya wanasayansi na kutoa sababu kibao wakidai ni sayansi, ila mambo yote ni Mungu.
 
mkiambiwa Mungu yupo na anatenda mambo ya ajabu yasiyo elezeka mnakataa, watakuja hapa watu wanajifanya wanasayansi na kutoa sababu kibao wakidai ni sayansi, ila mambo yote ni Mungu.

Ciprofloxacin,kwa wanaomini uwepo wa mungu(mimi mmojawapo)wanakubali kwamba mambo yote ni mungu pasi na yeye hakuna linalowezekana,lakini uwepo wa huyu mungu hauzuii jambo ambalo kisayansi linaweza kuelezewa, likaelezewa na kueleweka na kila mmoja, kwa mfano jambo hili la mvua pindi inaponyesha kwanini hushuka chini na si kwenda juu huelezeka tu na sayansi na nimekwisha litolea ufafanuzi,hivyo basi jambo linapokuwa gumu kwa upande wako jaribu kutafuta solution kwa wenzako na si kuhitimisha kwamba halielezeki na mungu tu ndio anayelijua.
 
Back
Top Bottom