Kwanini mvua inanyesha chini ya mawingu meupe tu na sio juu kuelekea anga ya blue?


teacher lete point bana acha story
 
wakuu bado bado hamjajibu hoja yaani bado kabisa hamjaeleza kwa nini juu ya mawingu meupe mvua hainyeshi au kwa nini mvua hainyeshi kuelekea kwenye anga la bluu?
 
mkuu ukipanda ndege wakati mvua inanyesha ukiwa chini ya mawingu meupe utaiona mvua lakini mkiyapita na kuelekea juu ya anga la bluu utakuta kukavu kabisa hakuna mvua,why?


Mnaulizana wenyewe?
 
Kumbe wengine mpo kutafta thread zenu kuwa na reply nyingi
 
Leo hujakutana na wale wanyama wa ajabu?
 
Aina za mawingu.....
Mawingu mdaa,
Mawingu moshi,
Mawingu kichuguu,
Mawungu ng'amba. Hiyo jografia darasa la tano. Sio mawingu yote yanasababisha mvua.
 
Aina za mawingu.....
Mawingu mdaa,
Mawingu moshi,
Mawingu kichuguu,
Mawungu ng'amba. Hiyo jografia darasa la tano. Sio mawingu yote yanasababisha mvua.

sasa kati ya haya mawingu ni yapi yanasababisha mvua? na kwa nini yawe hayo?
 

Swali hili ni dhibitisho kuwa elimu ya Tanzania imeporomoka sana! Kwanza ilishasemwa hapa kuwa hakuna anga ya blue Na bado swali lako unaweka anga ya blue. Enzi hizo elimu ilipokuwa bora tukiwa darasa la saba tulikuwa tuna idea namna mvua inavyotengenezwa. Kujibu swali lako acha nikuulize swali: kwa nini mtu akianguka kwenye mti huelekea ardhini na sio juu kwenye anga za blue?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…