Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,057
- 10,367
nguvu za mvutano? zipi hizo mkuu?
yaaani kabisa mkuu sielewi nichukue lipi na niache lipi, kila mtu hapa anashusha tu data zake nyingine original nyingine fake tupu
mkuu ukipanda ndege wakati mvua inanyesha ukiwa chini ya mawingu meupe utaiona mvua lakini mkiyapita na kuelekea juu ya anga la bluu utakuta kukavu kabisa hakuna mvua,why?
Hayupo serious huyo ila anataka mabishano ya vijiwe vya kahawa.[/QUOTE
Ni kweli kabisa,nia yake ni kujaza Server tu humu.
mkiambiwa Mungu yupo na anatenda mambo ya ajabu yasiyo elezeka mnakataa, watakuja hapa watu wanajifanya wanasayansi na kutoa sababu kibao wakidai ni sayansi, ila mambo yote ni Mungu.