Kwanini mwaka 2020 Hayati Magufuli aliamua kufanya uchafuzi badala ya uchaguzi?

Kwanini mwaka 2020 Hayati Magufuli aliamua kufanya uchafuzi badala ya uchaguzi?

BURUTA

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2015
Posts
631
Reaction score
809
Swali hilo najiuliza hadi leo sipati jibu.

Huenda alidhamiria kuua upinzani na kutawala milele?

Lakini hata hivyo Mungu Mwenyezi alikuwa na yake.

Halafu kama ni hivyo na baada ya CHADEMA kutotambua uchafuzi huo kwa kutangaza dunia nzima imekuaje tena Bunge hilo lisilotambuliwa na Chadema kuapisha Wabunge wao?

Tena kwenye tenti na bila ya kuwapo kwa Siwa, yaani Mace?

Taasisi hiyo ya Bunge isiyotambuliwa na Chadema kwanini inang'ang'ania inayowaita wabunge wa chama hicho?

Mambo ya ajabu sana haya aiseee!
 
Miruzi mingi humpoteza Mbwa ,aliona bora atoe mamluki wote ili anyooshe Nchi .
 
Yule jamaa alitaka ashikilie kila kitu, mwisho wa siku vyote vikamponyoka.

Yeye angefanya awaache CHADEMA nao wafanye kazi, kaondoka kaiacha chadema ikiendelea.
 
Swali hilo najiuliza hadi leo sipati jibu.

Huenda alidhamiria kuua upinzani na kutawala milele?

Lakini hata hivyo Mungu Mwenyezi alikuwa na yake.

Halafu kama ni hivyo na baada ya CDM kutotambua uchafuzi huo kwa kutangaza dunia nzima imekuaje tena Bunge hilo lisilotambuliwa na Chadema kuapisha Wabunge wao?

Tena kwenye tenti na bila ya kuwapo kwa Siwa, yaani Mace?

Taasisi hiyo ya Bunge isiyotambuliwa na Chadema kwanini inang'ang'ania inayowaita wabunge wa chama hicho?

Mambo ya ajabu sana haya aiseee!
Kichaa hanaga aibu, ukimshangaa utakuwa kichaa zaidi yake
 
Mmemaliza matusi? Sasa anzeni kujibu swali hilo kwa hoja. Mataga mjifunze kwamba hoja hujibiwa kwa hoja.
Hii ni changamoto kubwa kwa nchi hii na kielelezo tosha kwamba baada ya miaka 60 ya utawala wenu bado umasikini kila kona, ajira hakuna nk nk.

YOU HAVE FAILED, FAILED AND FAILED.
 
Swali hilo najiuliza hadi leo sipati jibu.

Huenda alidhamiria kuua upinzani na kutawala milele?

Lakini hata hivyo Mungu Mwenyezi alikuwa na yake.

Halafu kama ni hivyo na baada ya CDM kutotambua uchafuzi huo kwa kutangaza dunia nzima imekuaje tena Bunge hilo lisilotambuliwa na Chadema kuapisha Wabunge wao?

Tena kwenye tenti na bila ya kuwapo kwa Siwa, yaani Mace?

Taasisi hiyo ya Bunge isiyotambuliwa na Chadema kwanini inang'ang'ania inayowaita wabunge wa chama hicho?

Mambo ya ajabu sana haya aiseee!
Jamaa lilikuwa bwege sana, huwezi kuuwa upinzani kwa kununua wapinzani au kuaribu chaguzi. Upinzani unaweza kwisha kwa chama tawala kufanya kazi nzuri na kutenda haki na kufuata sheria

Lijamaa lilialibu chaguzi kwasababu liliona kwenye uchaguzi wa haki hataweza kutoboa
 
Miruzi mingi humpoteza Mbwa ,aliona bora atoe mamluki wote ili anyooshe Nchi .
Corona ikampiga kofi moja mpaka leo yuko anaoza huko kaburini, jamaa alimuwa muuaji, mwizi na muongo sana
 
Tanzania kuna masihara sana, yaani mtu kama Jiwe eti alikuwa Rais wa nchi, iko siku mtu kama wewe unaweza kujikuta umekuwa Rais wa nchi pamoja na akili zako hizi
Ungeongea wakati alikuwepo sasa unaongea leo hayupo itakusaidia nn
 
Ndio aliona demokrasia inatuchelewesha..huoni ndani ya muda mfupi alifanya makubwa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ungeongea wakati alikuwepo sasa unaongea leo hayupo itakusaidia nn
Kwani unapopewa historia ya Idd Amini kwani yupo duniani? Kumbuka kuwa Sukuma gang siyo justification ya kuwa mjinga
 
Mungu alimaliza mambo,baada ya kuona waja wake wakiteseka.
Asante Mungu.
 
Back
Top Bottom