Miruzi mingi humpoteza Mbwa ,aliona bora atoe mamluki wote ili anyooshe Nchi .
Kichaa hanaga aibu, ukimshangaa utakuwa kichaa zaidi yakeSwali hilo najiuliza hadi leo sipati jibu.
Huenda alidhamiria kuua upinzani na kutawala milele?
Lakini hata hivyo Mungu Mwenyezi alikuwa na yake.
Halafu kama ni hivyo na baada ya CDM kutotambua uchafuzi huo kwa kutangaza dunia nzima imekuaje tena Bunge hilo lisilotambuliwa na Chadema kuapisha Wabunge wao?
Tena kwenye tenti na bila ya kuwapo kwa Siwa, yaani Mace?
Taasisi hiyo ya Bunge isiyotambuliwa na Chadema kwanini inang'ang'ania inayowaita wabunge wa chama hicho?
Mambo ya ajabu sana haya aiseee!
Jamaa lilikuwa bwege sana, huwezi kuuwa upinzani kwa kununua wapinzani au kuaribu chaguzi. Upinzani unaweza kwisha kwa chama tawala kufanya kazi nzuri na kutenda haki na kufuata sheriaSwali hilo najiuliza hadi leo sipati jibu.
Huenda alidhamiria kuua upinzani na kutawala milele?
Lakini hata hivyo Mungu Mwenyezi alikuwa na yake.
Halafu kama ni hivyo na baada ya CDM kutotambua uchafuzi huo kwa kutangaza dunia nzima imekuaje tena Bunge hilo lisilotambuliwa na Chadema kuapisha Wabunge wao?
Tena kwenye tenti na bila ya kuwapo kwa Siwa, yaani Mace?
Taasisi hiyo ya Bunge isiyotambuliwa na Chadema kwanini inang'ang'ania inayowaita wabunge wa chama hicho?
Mambo ya ajabu sana haya aiseee!
Corona ikampiga kofi moja mpaka leo yuko anaoza huko kaburini, jamaa alimuwa muuaji, mwizi na muongo sanaMiruzi mingi humpoteza Mbwa ,aliona bora atoe mamluki wote ili anyooshe Nchi .
Hawezi kupumzika kwa uovu alioutenda kwenye nchi hii.Embu muacheni apumzike basi [emoji31]
Omba uanachama na wewe.Wewe unaamini Chadema ni chama cha siasa au Club ya Mabwanyenye iliyoasisiwa pale Motel Agip?
Ungeongea wakati alikuwepo sasa unaongea leo hayupo itakusaidia nnTanzania kuna masihara sana, yaani mtu kama Jiwe eti alikuwa Rais wa nchi, iko siku mtu kama wewe unaweza kujikuta umekuwa Rais wa nchi pamoja na akili zako hizi
Kwani unapopewa historia ya Idd Amini kwani yupo duniani? Kumbuka kuwa Sukuma gang siyo justification ya kuwa mjingaUngeongea wakati alikuwepo sasa unaongea leo hayupo itakusaidia nn
Yule jamaa hakupenda kupingwa, ndio maana alitesa, alifunga na kuwapoteza waliompinga.Ungeongea wakati alikuwepo sasa unaongea leo hayupo itakusaidia nn