Akija kujibu hapa uniambieWakiifunga Yanga mnawasifia mapambio kila aina mara hawajawahi kufungwa kwao nk Yanga akiwafunga wanageuka dhaifu ghafla,
Hao usma unaosema wapo nafas ya 10 walimtoa asfar ambae yupo nafas ya ngap hapo??
Rage alimaliza kila kitu
We ni pumbavu sana hizo unazo ziona sio dhaifu zimezitoa unazo ziona imara mpaka kufika hapo hua udhaifu mnao usema ni kwa sababu tu yanga kafika fainaliIlikuwaje mwaka huu Kombe la Shirikisho barani Afrika kukawa na timu dhaifu kiasi hiki, ilishatokea huko nyuma kweli, yaani Bingwa wa CAFCC, anakuwa nafasi ya kumi kwenye msimamo wa ligi ya ndani kwao.
Imecheza juzi fainali tarehe 31 vs Sevilla.Man u ilifika fainali za europa lini mnyampaa
Wee final ilikua AS Roma na Sevilla Europa.Imecheza juzi fainali tarehe 31 vs Sevilla.
Hicho ndio kigezo chako cha udhaifu, kwani nini isiwe ni kile team ilicho lenga kuwa,au kuwekeza nguvu na rasilimali zaidi?Na je vipi kama ligi bado haijaisha🤔Ilikuwaje mwaka huu Kombe la Shirikisho barani Afrika kukawa na timu dhaifu kiasi hiki, ilishatokea huko nyuma kweli, yaani Bingwa wa CAFCC, anakuwa nafasi ya kumi kwenye msimamo wa ligi ya ndani kwao.
SawaWee final ilikua AS Roma na Sevilla Europa.
We Dr hebu weka kumbukumbu zako sawaa.
sawa, nilikoseaDuuh, Kumbe AS Roma aliyecheza na Sevilla ana jina lingine anaitwa Man Utd
Timu bora Tanzania.. itaje kombe inalomiliki msimu huuMbona unauliza maiti mochwari? Hilo ni kombe la vibonde wale walioshindwa ubingwa wa nchini kwao na wale walioshindwa kuendelea kwenye CAFCL ndiyo hao.
[emoji120][emoji120]Sawa
Ninaamini Msimu ujao tutafanya vema kwenye ligi ya Mabingwa na kufika hatua ambayo hakuna timu ya Tz ilifika.Mpumbavu Waheed Mwenyewe..!
Soma Uzi uelewe kisha uchangie.
Timu gani iliyokosa nauli katika michezo kuanzia raundi ya makundi?Nimeita dhaifu kutokana mambo mengi, mara timu nyingine kutokuwa na nauli, mara timu imeshuka daraja huko na pia bingwa nafasi ya kumi kwenye msimamo.
Unategemea kupata ushindani kwa hali hii kweli..!
Kama hujui kuwa haya mashindano yana madaraja basi kafie mbele huko.Timu bora Tanzania.. itaje kombe inalomiliki msimu huu
Usijihasaulishe... Yanga unecheza nae ligi KUU NBC na hujaaambua kitu pamoja na kuwa timu yenye class dogo kulinganisha na timu kubwa kama simba. Sasa hii Simba ukubwa wake uko wapiiiiiii? Kwenda kukata kata viuno huko uarabuni ma kurudi hapa bila marinda?Kama hujui kuwa haya mashindano yana madaraja basi kafie mbele huko.
Simba alivyotolewa na kaiser kaiza alikuwa nafasi ya 10 kwenye msimamoIlikuwaje mwaka huu Kombe la Shirikisho barani Afrika kukawa na timu dhaifu kiasi hiki, ilishatokea huko nyuma kweli, yaani Bingwa wa CAFCC, anakuwa nafasi ya kumi kwenye msimamo wa ligi ya ndani kwao.
Usihamishe magoli,mada ni timu zinazoshiriki loosers cup. Ndiyo maana mnashindwa mitihani soma maelezo kabla hujakurupuka kujibu swali.Usijihasaulishe... Yanga unecheza nae ligi KUU NBC na hujaaambua kitu pamoja na kuwa timu yenye class dogo kulinganisha na timu kubwa kama simba. Sasa hii Simba ukubwa wake uko wapiiiiiii? Kwenda kukata kata viuno huko uarabuni ma kurudi hapa bila marinda?