Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
Utopolo.Taja timu ambazo ni dhaifu ni zupiy? Sema kwanini kulikuwa hakuna timu maarufu zenye majina makubwa. Na sio useme dhaifu, unless utoe sababu zako Kwanini umeziita dhaifu
Usm alger alimtoa rabat robo fainali ambayo inaongoza lig ya morocco na ndo ligi bora afrikaIlikuwaje mwaka huu Kombe la Shirikisho barani Afrika kukawa na timu dhaifu kiasi hiki, ilishatokea huko nyuma kweli, yaani Bingwa wa CAFCC, anakuwa nafasi ya kumi kwenye msimamo wa ligi ya ndani kwao.
Usm alger alimtoa rabat robo fainali ambayo inaongoza lig ya morocco na ndo ligi bora afrikadhaifu sana kwamfano USM Alger ilikua ni wa kufungwa nje ndani.Alger ni timu nyepesi sana kwa Utopolo.
kuongoza ligi sio issue Fus Rabat,Olipique de safi pia washawai kuongoza ligi.Usm alger alimtoa rabat robo fainali ambayo inaongoza lig ya morocco na ndo ligi bora afrika
Morocco ndo ligi bora afrika timu inaongoza ligi alafu mtu anasema sio ishu tuachen siasa na majungu kwenye mpirakuongoza ligi sio issue Fus Rabat,Olipique de safi pia washawai kuongoza ligi.
Kulikuwa na timu dhaifu au hakukuwa na majina ya timu maarufu?? Hakuna timu dhaifu inayofika zile level. Sema nyie kuna majina mmeshakariri kuwa ndio timu kubwa kwa hiyo hata zikiboronga msimu husika zikaingia zilizokuwa bora zaidi kwa msimu huo, basi mnaendelea kukariri tu kuwa zilizo nje ni bora zaidi kwa ajili ya majinaIlikuwaje mwaka huu Kombe la Shirikisho barani Afrika kukawa na timu dhaifu kiasi hiki, ilishatokea huko nyuma kweli, yaani Bingwa wa CAFCC, anakuwa nafasi ya kumi kwenye msimamo wa ligi ya ndani kwao.
Kuongoza ligi sio issue muda ukifika Wyda atakaa kwenye nafasi yake.Morocco ndo ligi bora afrika timu inaongoza ligi alafu mtu anasema sio ishu tuachen siasa na majungu kwenye mpira
Point ni kwamba usm alger alimtoa wakati anaongoza ligi huu ukweli kamwe huwez badilishaKuongoza ligi sio issue muda ukifika Wyda atakaa kwenye nafasi yake.
Usm alger amemtoa asec mimosa nusu fainal ambaye anaongoza ligi ivory coast ndo maana nikwambia mleta uzi majungu sio mtaji na tuache propaganda kwenye mpiraFar rabat alikua CAFCC lakini kwenye ligi yake ya Morroco anaongoza ligi.
Lakini Raja Casablanca ambaye ni wa 4 kwenye ligi yupo zake CAFCL
Js kablyie yupo nafasi ya 14 huko katika ligi yake ya Algeria lakini kacheza robo CAFCL..
Ko sioni hoja hapo.
Na pia Usm alger amemtoa asec mimosa nusu fainal ambaye anaongoza ligi ivory coast na ni bingwa wa ligi ya ivory coast msimu huuKuongoza ligi sio issue muda ukifika Wyda atakaa kwenye nafasi yake.
Na rivers aliyetolewa na yanga robo fainal ni bingwa wa lig ya nigeriaKuongoza ligi sio issue muda ukifika Wyda atakaa kwenye nafasi yake.
kipindi wanafuzu kucheza mashindano husika walikua wameshuka daraja? hii nchi ina wapumbavu wengi sana.Nimeita dhaifu kutokana mambo mengi, mara timu nyingine kutokuwa na nauli, mara timu imeshuka daraja huko na pia bingwa nafasi ya kumi kwenye msimamo.
Unategemea kupata ushindani kwa hali hii kweli..!
kipindi wanafuzu kucheza walikua nafasi ya ngapi?Marumo kashuka daraja
Usma nafasi ya kumi
Rivers wapo machokoroni huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Moja ya vitu vinavyoirudisha nchi hii nyuma ni majungukipindi wanafuzu kucheza walikua nafasi ya ngapi?
Nigeria akuna ligi kule ni uchafu.Na rivers aliyetolewa na yanga robo fainal ni bingwa wa lig ya nigeria