Kwanini mwaka huu Kombe la Shirikisho (CAFCC) kulikuwa na timu dhaifu

Kwanini mwaka huu Kombe la Shirikisho (CAFCC) kulikuwa na timu dhaifu

Ilikuwaje mwaka huu Kombe la Shirikisho barani Afrika kukawa na timu dhaifu kiasi hiki, ilishatokea huko nyuma kweli, yaani Bingwa wa CAFCC, anakuwa nafasi ya kumi kwenye msimamo wa ligi ya ndani kwao.
Usm alger alimtoa rabat robo fainali ambayo inaongoza lig ya morocco na ndo ligi bora afrika
 
Ilikuwaje mwaka huu Kombe la Shirikisho barani Afrika kukawa na timu dhaifu kiasi hiki, ilishatokea huko nyuma kweli, yaani Bingwa wa CAFCC, anakuwa nafasi ya kumi kwenye msimamo wa ligi ya ndani kwao.
Kulikuwa na timu dhaifu au hakukuwa na majina ya timu maarufu?? Hakuna timu dhaifu inayofika zile level. Sema nyie kuna majina mmeshakariri kuwa ndio timu kubwa kwa hiyo hata zikiboronga msimu husika zikaingia zilizokuwa bora zaidi kwa msimu huo, basi mnaendelea kukariri tu kuwa zilizo nje ni bora zaidi kwa ajili ya majina
 
Far rabat alikua CAFCC lakini kwenye ligi yake ya Morroco anaongoza ligi.

Lakini Raja Casablanca ambaye ni wa 4 kwenye ligi yupo zake CAFCL

Js kablyie yupo nafasi ya 14 huko katika ligi yake ya Algeria lakini kacheza robo CAFCL..

Ko sioni hoja hapo.
 
Usm alger amemtoa asec mimosa nusu fainal ambaye anaongoza ligi ivory coast ndo maana nikwambia mleta uzi majungu sio mtaji na tuache propaganda kwenye mpira
 
Nimeita dhaifu kutokana mambo mengi, mara timu nyingine kutokuwa na nauli, mara timu imeshuka daraja huko na pia bingwa nafasi ya kumi kwenye msimamo.

Unategemea kupata ushindani kwa hali hii kweli..!
kipindi wanafuzu kucheza mashindano husika walikua wameshuka daraja? hii nchi ina wapumbavu wengi sana.
 
Back
Top Bottom