SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
Uchawi upo?Mkuu kama uchawi upo basi na miujiza ipo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchawi upo?Mkuu kama uchawi upo basi na miujiza ipo.
😂😂😂😂Haoni...duu hivi mbona hivi vitu vinatokea kwenye hadithi za watu tu na sio maisha tunayoishi jamaniUnanihoji tena,kifupi kunamdogo angu alikua anasoma kidato Cha 4,Kila akienda kufanya mitihani ya Moko,annual macho yalikua hayaoni, akitoka anaona
Alipewa maji tena na mtu wa mitaani tu akanawa kichwa na USO Hadi leo Yuko form 6
Ndo mana nimekujibu,kama hujawai kutwa na matatizo,utadhihaki sana,
Ila siku yakikukuta,utapewa ad kinyesi kuwa ni dawa na utaamini
Mambo ya Giza na magonjwa ya kawaida unatofautishaje? Mbona wanaenda watu wa ukimwi, vilema etc si medical problems zile...mambo ya Giza ni Nini Sasa?Mwamposa anadili na mambo ya Giza,
Sasa unaumwa malaria wakati si mambo ya giza.mahospitali kunamda unaumwa madaktari wanakwambia jiongeze,nenda kienyeji
Mwamposa anadili na mambo ya Giza,sio magonjwa ya kawaida
Na madaktari,manesi na wafamasia wataishi vipi sasaHili ndio swali ninalojiuliza kama kweli huyu ni mchungaji wa ukweli.
Kwa mfano, kwanini tusimuone Mwamposa akiwa Ocean Road hospitali anaombea wagonjwa wa kansa na tukaona wananyanyuka vitandani au madaktari wakathibitisha kupona kwa hao wagonjwa?
Uhuru wa kuabudu umegeuka mtaji kwa wajanja wachache huku wajinga wakiwawatajirisha wenzao.
Navyosema dini sio lazma iwe organized religion..hata babu zetu walikuwa na dini zao...ila the oldest religion ni Hinduism coz Ina maandiko yanaenda miaka 3000 BCMkuu nasikia kuna dini nyingine nyingi tu zaidi ya hizi mbili ambazo zinatumia Bible na Quran, hizo dini nyingine zinatumia vitabu gani?
Mwamposa akienda Mbeya wanaopona wanatoka Dar au sehemu zingine, akirudi Dar wanaopona wanakuwa wanatokea Mbeya au sehemu tofauti. Umewahi sikia mtu wa Kawe hapo hapo kapona na katoa ushuhuda? Au kawe hakuna wagonjwa?Ila ukumbuke kunawatu wamepona kupitia mwamposa,ila kwakua sisi hayajatugusa TUNAROPOKA TU
Siku yakikukuta utakuja kutoa ushuhuda,
Nimeshuhudia watu zaidi ya wanne Mmoja ni mama angu,kama huna interaction na mambo ya mitaani huwez jua
Ukikaa vijiwe vyako ni jf,insta,tik talk unahisi unaifahamu sana dunia
Ukitaka kujua vizuri hao watoa ushuhuda jiulize kuna mkazi wa hapo hapo kawe aliyepona? Ina maana kawe hakuna wagonjwa au wote hawana imaniKama Mwamposa ana uwezo wa kuponya angeponya tu wagonjwa bila hiyo CONDITION ya imani.
Huwezi kuniambia wale watu wote Ocean Road waliolala hawana imani hata kidogo.
Sasa si aende huko Ocean road akawaponye hao wanaoumwa maana tayari yamewakutaUnanihoji tena,kifupi kunamdogo angu alikua anasoma kidato Cha 4,Kila akienda kufanya mitihani ya Moko,annual macho yalikua hayaoni, akitoka anaona
Alipewa maji tena na mtu wa mitaani tu akanawa kichwa na USO Hadi leo Yuko form 6
Ndo mana nimekujibu,kama hujawai kutwa na matatizo,utadhihaki sana,
Ila siku yakikukuta,utapewa ad kinyesi kuwa ni dawa na utaamini
So ni mshirikina?Mwamposa anadili na mambo ya Giza,
Sasa unaumwa malaria wakati si mambo ya giza.mahospitali kunamda unaumwa madaktari wanakwambia jiongeze,nenda kienyeji
Mwamposa anadili na mambo ya Giza,sio magonjwa ya kawaida
Ache wivu. Ukiona anafaidi sana na wewe jaribu. Bora huyo watu wanamfuata wenyewe kuliko nyie mnaoiba kwa kalamu ofisini na kujiona wasafi kuliko wengine.Hili ndio swali ninalojiuliza kama kweli huyu ni mchungaji wa ukweli.
Kwa mfano, kwanini tusimuone Mwamposa akiwa Ocean Road hospitali anaombea wagonjwa wa kansa na tukaona wananyanyuka vitandani au madaktari wakathibitisha kupona kwa hao wagonjwa?
Uhuru wa kuabudu umegeuka mtaji kwa wajanja wachache huku wajinga wakiwawatajirisha wenzao.
Sawa mkuu, ila hujasema vitabu vinaitwaje? Au havina majina?Navyosema dini sio lazma iwe organized religion..hata babu zetu walikuwa na dini zao...ila the oldest religion ni Hinduism coz Ina maandiko yanaenda miaka 3000 BC
Kwanini usiende kuwahimiza walioko ocean road waende? Hata wengi walioponywa na mitume na manabii including Yesu walikua wanamfuata alipo. Kiponywa ni suala la imani. Kumfuata mtu ni dalili ya kumlazimisha.Sasa si aende huko Ocean road akawaponye hao wanaoumwa maana tayari yamewakuta
Mkuu so Lazaro alimfata Yesu ili amfufue au Yesu alimfata Lazaro?Kwanini usiende kuwahimiza walioko ocean road waende? Hata wengi walioponywa na mitume na manabii including Yesu walikua wanamfuata alipo. Kiponywa ni suala la imani. Kumfuata mtu ni dalili ya kumlazimisha.
Lazaro alikua hospitalini?Mkuu so Lazaro alimfata Yesu ili amfufue au Yesu alimfata Lazaro?
Pale unapona kama ulirogwa. Kipindi nahudum hospitali ya kata Kuna mama alikuja kuleta mwanae mwenye child disorders ambaye alishindikana madhabahu yote daresalaam hii.Ila ukumbuke kunawatu wamepona kupitia mwamposa,ila kwakua sisi hayajatugusa TUNAROPOKA TU
Siku yakikukuta utakuja kutoa ushuhuda,
Nimeshuhudia watu zaidi ya wanne Mmoja ni mama angu,kama huna interaction na mambo ya mitaani huwez jua
Ukikaa vijiwe vyako ni jf,insta,tik talk unahisi unaifahamu sana dunia
Vedas...ya HinduismSawa mkuu, ila hujasema vitabu vinaitwaje? Au havina majina?
Umesema mwenye uhitaji ndiyo anamfata nabii kwani nabii akimfata itakuwa kama anamlazimisha. Ndiyo maana nikakuuliza kama Lazaro alimfata Yesu ili afufuliwe au Yesu alimfata Lazaro?Lazaro alikua hospitalini?
Inverted Cross phylosophy.Hili ndio swali ninalojiuliza kama kweli huyu ni mchungaji wa ukweli.