Kwanini Mwamposa asiende kwenye mahosiptali kuombea wagonjwa na tukaona wanapona?

Aende hanang na khatesh huko wanamuhitaji

Ova
 
Jibu la Kiafrika na sahih8 ni hili
1702405389116.jpg
 
Jibu la Kiafrika na sahih8 ni hiliView attachment 2842948

Kama hujafanya utafiti ni kheri kukaa kimya. Watumishi wa Mungu wana huduma za kutembea hospitali, magereza na vituo vya wasiojiweza na watu hupokea uponyaji kila mtu kwa wakati wake na kwa kadri ya mapenzi ya Mungu. Hata wagonjwa waliopo nyumbani ambao kwa namna moja au nyingine hawawezi kufika ibadani, watumishi wa Mungu huwafikia na kuwapa huduma za maombezi na wanapokea uponyaji. Kanisani hamuendi, hospitali kuona wagonjwa hamuendi mnategemea mtaona wapi haya mambo?
 
Hili ndio swali ninalojiuliza kama kweli huyu ni mchungaji wa ukweli.

Kwa mfano, kwanini tusimuone Mwamposa akiwa Ocean Road hospitali anaombea wagonjwa wa kansa na tukaona wananyanyuka vitandani au madaktari wakathibitisha kupona kwa hao wagonjwa?

Uhuru wa kuabudu umegeuka mtaji kwa wajanja wachache huku wajinga wakiwawatajirisha wenzao.
MPAKA AWAROGE KWANZA NDIO ATAWAPONYA

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Kama hujafanya utafiti ni kheri kukaa kimya. Watumishi wa Mungu wana huduma za kutembea hospitali, magereza na vituo vya wasiojiweza na watu hupokea uponyaji kila mtu kwa wakati wake na kwa kadri ya mapenzi ya Mungu. Hata wagonjwa waliopo nyumbani ambao kwa namna moja au nyingine hawawezi kufika ibadani, watumishi wa Mungu huwafikia na kuwapa huduma za maombezi na wanapokea uponyaji. Kanisani hamuendi, hospitali kuona wagonjwa hamuendi mnategemea mtaona wapi haya mambo?
Wewe ni mfia ujinga na kama siyo hivyo basi wewe ni mnufaika wa hao wajinga unatetea uwepo wao milele.

Mwenye akili hana mjadala na hili kuwa hakuna kitu kama utumishi wa Mungu bali utapeli
 
Hili ndio swali ninalojiuliza kama kweli huyu ni mchungaji wa ukweli.

Kwa mfano, kwanini tusimuone Mwamposa akiwa Ocean Road hospitali anaombea wagonjwa wa kansa na tukaona wananyanyuka vitandani au madaktari wakathibitisha kupona kwa hao wagonjwa?

Uhuru wa kuabudu umegeuka mtaji kwa wajanja wachache huku wajinga wakiwawatajirisha wenzao.
Mwamposa ni katika manabii wa uongo waliozuka hivi karibun yule ni wakala wa kuzimu ni wajinga pekee ndio huwa wanaendaga kule
 
Wagonjwa wanatofautiana

Wapo wanatakiwa kusikia kelele na wasiohitaji kelele
 
Wewe ni mfia ujinga na kama siyo hivyo basi wewe ni mnufaika wa hao wajinga unatetea uwepo wao milele.

Mwenye akili hana mjadala na hili kuwa hakuna kitu kama utumishi wa umma bali utapeli

Nyinyi “werevu” mmefanya lipi kuwafariji wagonjwa? Watumishi wa Mungu hupita kuwatia moyo na kuwaombea na walau hilo huwapa wagonjwa tumaini la kuishi na wengine kupona kabisa. Wewe mwerevu umefanya lipi?
 
Nimefanya mambo kadhaa juu ya wagonjwa ikiwemo kuwalipia gharama za matibabu,kuwanunulia vyaakula vyenye virutubisho nk.

Pale Mloganzila kuna mama mmoja ambaye ni daktari msitafu amekuwa akitoa chakula kwa wagonjwa bure kila siku je mwamposa aliwahi kufanya hivyo?

Hakuna anayepona kwa maombi ya maaskofu au wachungaji bali kwa tiba ya hospitali na kienyeji tu,biblia haiponyi!!
 
Hili ndio swali ninalojiuliza kama kweli huyu ni mchungaji wa ukweli.

Kwa mfano, kwanini tusimuone Mwamposa akiwa Ocean Road hospitali anaombea wagonjwa wa kansa na tukaona wananyanyuka vitandani au madaktari wakathibitisha kupona kwa hao wagonjwa?

Uhuru wa kuabudu umegeuka mtaji kwa wajanja wachache huku wajinga wakiwawatajirisha wenzao.
naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom