Kwanini mwanaharakati Maria Hazungumzii sakata la mafaili ya Epstein?

Kazi ya bunge sio kuchunguza uhalifu,
πŸ™
kujadili uhalifu uliokithiri na uhalifu wa kipekee ni kazi yake ili liishauri serikali kuchukua hatua.
Bunge linapaswa kuongelea maslahi ya wananchi pia.

Hivyo, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linafanya kazi kuu zifuatazo:-

  • Kusimamia na kuishauri Serikali;
  • Kuwakilisha maslahi ya wananchi;
  • Kutunga sheria; na
  • Kuridhia Mikataba ya Kimataifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…