GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kuna mahala nilikuwa katika Kikao kidogo ndani ya Ukumbi na kuna Dada kwa kutokujua kuwa alikuwa anatuonyesha Video ya bure ya kilichopo katikati ya Miguu yake (ila Kimefunikwa) na alipojulishwa na Mwenzake akakaa vizuri na kutunyima Uhondo wazee wa Chabo na ghafla Confidence yake ikashuka na kukosa Amani kabisa japo alikuwa anajitutumua kuonyesha kuwa alikuwa sawa.
Na wakati tukiona la huyu Dada kuna Mwanaume mmoja nae alikuwa kaenda Msalani (Maliwatoni) siyo Kuukweka (Kunya) bali Kukojoa (Kususu) na aliporejea Kikaoni huku akiwa anaingia katika Mlango ambao kila Mtu anamuona alikuwa kasahau Kufunga Zipu yake ya Suruali aliyoivaa na baada ya Wadau kumwambia kuwa Zipu ilikuwa wazi aliipandisha huu kwa Madaha bila ya kuona tatizo na kuendelea na Kikao.
Ila nimemlaumu sana yule Dada aliyemshtua Mwenzake kwani katunyima mno Uhondo wa Kuiona Ramani ya Kokwa.