Tena wengine huwa wanakua na hasira au machozi bila sababu, ni vizuri mkawaelewa wakw zenu wala hamtapata tabuMabadiliko ya hormones (fluctuations za estrogen na progesterone) kipindi cha hedhi husababisha mood kubadilika na hivyo mwanamke anakuwa na mood swings.
Shkamoo my dada,relax hiyo ni haki yako ya msingiMi ndo komesha saiv Hadi najichukia full visirani
Ninachojua mwanamke kama hajakazwa muda.. yeye na hasira ni marafiki wakubwa walioshibana
πππ€π€πππβοΈβοΈ
π€π€π€π€Kwa kuwa umeuliza swali la kibabe kidogo, ngoja upate majibu ya kibabe pia...
Kati ya mwanaume na mwanamke, sehemu kubwa ya mwenendo wa siku za mwanamke huongozwa na mabadiliko ya vichocheo 'hormones'...
Kwa mwanamke huwa kuna kitu kinaitwa Premenstrual syndrome (PMS), ni mkusanyiko wa dalili za kimaumbile au kihisia ambazo huanza angalau wiki moja kabla ya hedhi. PMS ndio inayopelekea mwanamke kuwa tu na tabia ambazo ndio hizo umezitaja "feel moodier than usual"
Nini shidaMi ndo komesha saiv Hadi najichukia full visirani
π€π€[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
AiseeπππTena wengine huwa wanakua na hasira au machozi bila sababu, ni vizuri mkawaelewa wakw zenu wala hamtapata tabu
Umeanza [emoji16][emoji16]habari za siku nyingi Chief HP
Ushaelezwa hapo juu hivo mchukulie kama alivyo....
Hii shida nilikua naiona sana kwa dada wa kazi siku zote huwa anajitahidi ana heshima ila kuna baadhi ya siku ananijibu kama yeye ndio boss, nikafatilia nikagundua ni almost mara moja kwa mwezi nikahisi huyu anakuaga period ndio maana, na kweli kila akijibu ujinga nikiingia room kwake nakuta pedi kitandani, sina tena shida nae akijibu namkaushia tu.
Wife wako sio wanawake wote.Wife alikuwa kwenye mzunguko nimenuniwa siku tatu na sikumfanyia kosa lolote, kwanini lakini nyie wake zetu mnakuwa na majaribu?
Kama unataka kuoa karibu, kuchakata hapanaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwe unanipa mualiko akimaliza MP
Mimi niko poa kabisa HP namshukuru Mungu sana.maisha ni kupambana bhana.tuendelee kupambana hakuna namnaSalama kabisa Boss wangu, tunapambana vyema na jiji letu la kitalii. Sijui wewe
Mimi niko poa kabisa HP namshukuru Mungu sana.maisha ni kupambana bhana.tuendelee kupambana hakuna namna
Kama unataka kuoa karibu, kuchakata hapanaaa
Kachakate huko huko kwenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mimi ni Mchakataji wa papucci
Kachakate huko huko kwenu
Sawa tutajirahidi πTena wengine huwa wanakua na hasira au machozi bila sababu, ni vizuri mkawaelewa wakw zenu wala hamtapata tabu
Mh! Ni wewe au pombe..?Nakupenda Sana kenzy..πππ
Sasa hivi visirani vinanoga ukimwonesha mpenzi na sio mtu mwingine.Ni mood swings TU ila mi akinijibu shit Nampa makonde ya kutosha so hivyo visirani ataonyesha wengine siyo mimi