Kwanini mwanamke akiwa hedhi anamchukia Kila mtu

True dada wa kazi akiwa na kibri .......
mawazo ya kwanza kwa mke, mume anakula dada kazi !!? ujinga huu uliwahi kunitokea zamani ......
kumbe ni mod swing tu.....
 
True dada wa kazi akiwa na kibri .......
mawazo ya kwanza kwa mke, mume anakula dada kazi !!? ujinga huu uliwahi kunitokea zamani ......
kumbe ni mod swing tu.....
Nilikuaga namind, ila nikikaa mwenyewe nikawa nashangaa najiuliza kwanini huyu ananijibu ovyo wakati hayupo hivo ana heshima ilichukua muda kuja kuwaza upande huo, tangu nijuee akijibu najifaya kama sijasikia 😁
 
Huyo ni mie mtupuuu,
Wiki moja kabla period hua sie mimi halafu pua zangu zanusa hizooo hata kama kuna lisoksi lichafu lilifutikwa mahala nitalisikia tu, lakini siku zingine walaaa,

Mtuzoee jamani sio kama tunapenda.
 
Nashindwa kukubaliana na wewe kwakua kila niliyewahi kudate naye tumeshashonana akiwa anableed.
 
Kweli kabisa binafsi nakuwaga na hasira sana kitu kidogo nafokafoka balaa mtoto asikae karibu yangu hakii
 
Genye na hizo mood swings [emoji23] Basi nakuwa kama chui mjamzito, visirani si vya nchi hii
Wewe kama wife akiwa period anakua na genye vibaya sana mwanzo nilikua simuelewi ila sasa yaani hata kama anavuja pedi inawekwa pembeni napeleka moto
 
Wewe kama wife akiwa period anakua na genye vibaya sana mwanzo nilikua simuelewi ila sasa yaani hata kama anavuja pedi inawekwa pembeni napeleka moto
We jamaa unapenda sana maku ya wife wako, hata sikushangai we jitafunie tu,

tatizo hasira tu Sasa Mimi kww sasa Ni karibu siku zote nakuwa hivyo mwenye kisirani,(sijapata mkuyenge siku nyingi), siku za damu ndo nakuwa vibaya zaidi, nimekuwa mtu wa gubu sana ilhali si hulka yangu
 
pia wengine wanakuwa wana hamu sana ya vitu vitamu vitamu kama pipi, ila hii ni kawaida kwa mwanamke. mwanaume usitake kuanza kujitafutia makosa ambayo hujafanya
 
pia wengine wanakuwa wana hamu sana ya vitu vitamu vitamu kama pipi, ila hii ni kawaida kwa mwanamke. mwanaume usitake kuanza kujitafutia makosa ambayo hujafanya
Chocolate hivi maana zinasaidia cramps .
Cravings huwa zinanisumbua mno , kila kitu natamani kula tena lazima nikipate .
 
ANA TATIZO LA PMS (pre menstrual syndromes)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…