chriss sylivester
Member
- Mar 11, 2018
- 6
- 18
Kwanini unakuta unamtongoza mdada na unampenda kweli, ila anakukatalia ila muda umeanzisha mahusiano mengine analeta hisia za wivu au kutaka kukuharibia wakati yeye alikuwa kataa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😆😂😂😁
labda alitaka umbembeleze alivyokukataa
labda alitaka umbembeleze alivyokukataa
Inaweza ikawa afu mimi nikawa sijalewa labdalabda alitaka umbembeleze alivyokukataa
Kwanini unakuta unamtongoza mdada na unampenda kweli, ila anakukatalia ila muda umeanzisha mahusiano mengine analeta hisia za wivu au kutaka kukuharibia wakati yeye alikuwa kataa
Ila kwakua una mahusiano tayari we achana nae tu fanya mambo yakoInaweza ikawa afu mimi nikawa sijalewa labda
Ukileta msimamo wakati wazuri ni wengi unawekwa kando, tunasonga mbele kama injili 😂🏃🏃🏃Me niliweka ka msimamo kangu kidogo tu we ndio unakata tamaa jaman? [emoji849][emoji849][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Km ww ni above 18 hili swala inabid uwe ushajua sababu zake hata km ukiwa bikra wa kiume,mijadala km hii ni kwa under 18 ambao wanajifunza kuwajua wanawakeKwanini unakuta unamtongoza mdada na unampenda kweli, ila anakukatalia ila muda umeanzisha mahusiano mengine analeta hisia za wivu au kutaka kukuharibia wakati yeye alikuwa kataa