Kwanini Mwanamke anawahi kukaukiwa na maji wakati wa tendo la ndoa

Kwanini Mwanamke anawahi kukaukiwa na maji wakati wa tendo la ndoa

Habari wana Jf,Nini ni husababisha mwanamke kukaukiwa na majimaji ukeni wakati wa tendo la ndoa na baadae kuanza kupata mchubuko,na nini kifanyike ili kutibu tatizo hilo,Mwanzo nilidhani kumuandaa ila hata yakiwa mengi hayakawii kukauka kabisa,msaada kwa mwenye kufahamu suluhisho
Nikujibu kwa maswali;
wewe ni kipindi gani unajawa na mate mdomoni mpaka unameza? Jibu litakuwa unapotamani chakula flani na pia na mwili wako una afya ya kutengeza hayo mate kwa wingi.
sasa mwanamke anapotamani tendo, mwili unatengeneza hiyo bidhaa. Ni jukumu lako kumfanya atamani tendo(mada ingine).
Akitosheka hamu utoweka kama wewe vile vile. Na utengenezaji hukoma. Pia nijukumu la hiyo kitu yako kutengeza ulainishi sio yeye tu.
Ushauri:
kila kitu lazima kuwa na kiasi. kula chakula mkitosheka acha, kusiwe na urafi.
Pia lazima umri wa kufanya tendo uwe mtu mzima na sio mgonjwa.
 
Habari wana Jf,Nini ni husababisha mwanamke kukaukiwa na majimaji ukeni wakati wa tendo la ndoa na baadae kuanza kupata mchubuko,na nini kifanyike ili kutibu tatizo hilo,Mwanzo nilidhani kumuandaa ila hata yakiwa mengi hayakawii kukauka kabisa,msaada kwa mwenye kufahamu suluhisho

Habari!

Pole kwa tatizo husika. Hili ni tatizo ambalo huweza kumpata mwanamke kwente umri wowote. Lakini ni suala la kawaida kabisa kwa wanawake wanaokuwa wamefikia muda wa kukoma hedhi (menopause).

Ute huu hutolewa na matezi yaliyoko kwenye ukuta wa uke kwa mwitikio wa mfumo wa fahamu kuleta taarifa mahsusi toka kwenye ubongo

Tatizo hili linaweza kuwa ni la:

1: Kisaikolojia
Hii hutokea pale mhusika anakuwa na mawazo hasi kulingana na tendo husika. Mara nyingi ni baada ya tukio hasi au kwa junsi alivyolelewa au zaliwa. Pia kama mhusika hampendi kwa dhati mwenzake.

2: Kimaumbile
Ute huu hutolewa na matezi yaliyoko kwenye ukuta wa uke. Inapotokea ukuta wa uke kuwa mwembamba kypita kiasi kinachotakuwa/vaginal wall atrophy matezi husika hushindwa kutoa ute kwa kiasi kinachotarajiwa.

3: Vichocheo/homoni
Mwanamke anapokuwa na matatizo ya vichocheo kama Oestrogen, matatizo haya humjumba pia.

4: Kutokuandaliwa vyema
Kiasi cha ute pia hutegemea na maandalizi yaliyo kamikifu.

Tiba:

1: Iko kwenye kurekebisha hayo halo juu.

2: kutumia mbadala pale tatizo linaposhindwa kutatulika kwa tiba nyinginezo. Mbadala ni vilainishi maalumu kama K-Y gel na vinavyofanana na hicho.

NB: Usitumie MATE au MAFUTA YOYOTE kwani huleta madhira zaidi kwa maeneo husika.

Tafakari na kumwona daktari bingwa ili kupata suluhisho kulingana na mhusika.
 
Hii sayansi ina mambo mengi , Shushia mafuta ya nazi au Babycare
Atumie baby care aone, wakati wa kukojoa mkojo asipopiga yowee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na hayo maumivu yake baada ya tendo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bas mtumie mate mpeane fangasi sugu.
Mate yanini wakati mungu katupa utelez wote cocastic mi nacheza na koki yako ya utelez,,, ipo pale ambapo huwa unakimbilia kujichua si unapajua lakin? Muulize Joannah nilivocheza naye mpaka akapata kiu nikasikia naomba dendaaa EF

Af naomba kuulize kwann wanawake tukiwa faragha wananiomba denda sana huwa najiuliza ni wanaume wote wanaombwa au huwa wanapandwa na mzuka wanaomba bila kujijua nipo serious hapa?
 
Halloo Mkuu Una uzoefu mwingi kwenye hizo zana za kivita , Mbona huku mtaani Vijana wanapendelea Sana hiyo silaa au kwasababu bei ni kitonga
Atumie baby care aone, wakati wa kukojoa mkojo asipopiga yowee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na hayo maumivu yake baada ya tendo.
 
Mate yanini wakati mungu katupa utelez wote cocastic mi nacheza na koki yako ya utelez,,, ipo pale ambapo huwa unakimbilia kujichua si unapajua lakin? Muulize Joannah nilivocheza naye mpaka akapata kiu nikasikia naomba dendaaa EF

Af naomba kuulize kwann wanawake tukiwa faragha wananiomba denda sana huwa najiuliza ni wanaume wote wanaombwa au huwa wanapandwa na mzuka wanaomba bila kujijua nipo serious hapa?
Denda unaombwa? Au sijaelewaa!!
 
Back
Top Bottom