Kwanini Mwanamke anawahi kukaukiwa na maji wakati wa tendo la ndoa

Kwanini Mwanamke anawahi kukaukiwa na maji wakati wa tendo la ndoa

Ile ni GUNDI ,kukauka usishangae

Ikitokea katikati ya mchezo ,chukua mafuta yamgando baka mbele ya batani Yako KAZI

IENDELEe
 
Halloo Mkuu Una uzoefu mwingi kwenye hizo zana za kivita , Mbona huku mtaani Vijana wanapendelea Sana hiyo silaa au kwasababu bei ni kitonga
Siku zote rahisi ni hatari, kwani zinaweza kuziba mirija ya uzazi.
Mafuta ya mgando sio mazuri hataa, sahiv mbna hata hivyo vilainishi nilivyotaja bei rahis fakee yaan. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Bora fake kuliko mafuta ya mgando.
 
Usirudie tena huo ujinga.
Muwe mnapenda kutembelea madaktari kwa consultation sio mpaka ukiumwa.
Tumia vilainishi.
Wakianza kunukiana huko waje humu kutupigia mayowe.

People should normalize special lubricants during sex, or else wacheze na kisimi sawasawa or wapunguze muda wa kufanya usiwe mrefu sana. Wanafanya lisaa na nusu wanatafuta nini? 😂😂😂

Achaneni na mate sijui baby care walau Mafuta ya nazi kwasababu ni ant Fungal nayo sio recommended.
 
yawezekana wamezoeana kiasi inabidi awe anamuaandaa kwanza. pia azingatie kiasi sio kukomoana
Ni kweli yaweza kuwa kuzoeana lakini hata nikimuandaa anakuwa vizuri na uterezi wa kutosha ila hayachelewi kuisha na hiyo ndiyo changamoto,na hata yeye anasema haelewi,mwanzo nilihisi amepoteza hamu na mimi lakini hata tendo akilihitaji yeye mambo huwa vilevile
 
Ni kweli yaweza kuwa kuzoeana lakini hata nikimuandaa anakuwa vizuri na uterezi wa kutosha ila hayachelewi kuisha na hiyo ndiyo changamoto,na hata yeye anasema haelewi,mwanzo nilihisi amepoteza hamu na mimi lakini hata tendo akilihitaji yeye mambo huwa vilevile
Unajua kuwa na wewe lazima ule vizuri, mana pia unatakiwa utoe utelezi wa kutosha tu. Kama mnatumia condom sawa lakini kama sio usimlaum yeye.
 
Unadhani nitafanyaje sasa,niondoke juu yake bila kumw.....?
Sasa akikaukiwa ndio Unamw…?!

Hili ni tatizo kwa baadhi ya wanawake lakini inaonyesha pengine hujui ku pump, manake ile kitu inakolezwa na moto, jinsi unavyo pump anavyopata utamu ndio inakua moto Hadi unamwaga, sasa kama huisugui vizuri, hapati utamu, haitoi moto/utelezi ndio maana haumwagi mwishoe ni kukaukiwa mkuu,,, umenifanya nimeongea matusi 🤣🤣🤣🤣😊😊ngoja waje wakupe muongozo jinsi ya kusugua ile kitu
 
Sasa akikaukiwa ndio Unamw…?!

Hili ni tatizo kwa baadhi ya wanawake lakini inaonyesha pengine hujui ku pump, manake ile kitu inakolezwa na moto, jinsi unavyo pump anavyopata utamu ndio inakua moto Hadi unamwaga, sasa kama huisugui vizuri, hapati utamu, haitoi moto/utelezi ndio maana haumwagi mwishoe ni kukaukiwa mkuu,,, umenifanya nimeongea matusi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji4][emoji4]ngoja waje wakupe muongozo jinsi ya kusugua ile kitu
Sidhani kama umeongea matusi,na humu kuna watu wazima tu kwahiyo hakuna maana ya kuficha ila ni kupunguza ukali wa maneno tu,

Tuna miaka saba kwenye ndoa alafu nishindwe kuperform hivi karibuni kweli?
 
Back
Top Bottom