kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Usirudie tena huo ujinga.Ile ni GUNDI ,kukauka usishangae
Ikitokea katikati ya mchezo ,chukua mafuta yamgando baka mbele ya batani Yako KAZI
IENDELEe
Siku zote rahisi ni hatari, kwani zinaweza kuziba mirija ya uzazi.Halloo Mkuu Una uzoefu mwingi kwenye hizo zana za kivita , Mbona huku mtaani Vijana wanapendelea Sana hiyo silaa au kwasababu bei ni kitonga
Tumieni mgando sanaa, mkija pata madhara msiseme hamjaambiwa.Ile ni GUNDI ,kukauka usishangae
Ikitokea katikati ya mchezo ,chukua mafuta yamgando baka mbele ya batani Yako KAZI
IENDELEe
ANGALIZoTumieni mgando sanaa, mkija pata madhara msiseme hamjaambiwa.
SawaUsirudie tena huo ujinga.
Muwe mnapenda kutembelea madaktari kwa consultation sio mpaka ukiumwa.
Tumia vilainishi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tumia vilainishi mahususiANGALIZo
Ukimwi (utapiamlo) unaua
Wakianza kunukiana huko waje humu kutupigia mayowe.Usirudie tena huo ujinga.
Muwe mnapenda kutembelea madaktari kwa consultation sio mpaka ukiumwa.
Tumia vilainishi.
Lkn Cha muhimu si utelezi ?Haifaiiii mgando, hata ya Nazi enyewe hayafai.
Yaa huwa naombwa na mwanamke kuna siri gan hapa?Denda unaombwa? Au sijaelewaa!!
😀😀😀 nioge nus saa niswak maji lita 2 Alaf ninuke Awap mum,,,sema viulim vyako vya huko chiniii mmmh!Sasa wewe kunuka mbupu na denda ni wapi na wapi
Usiniambie unanuka mdomo pia 🙆♀️
Ni kweli yaweza kuwa kuzoeana lakini hata nikimuandaa anakuwa vizuri na uterezi wa kutosha ila hayachelewi kuisha na hiyo ndiyo changamoto,na hata yeye anasema haelewi,mwanzo nilihisi amepoteza hamu na mimi lakini hata tendo akilihitaji yeye mambo huwa vilevileyawezekana wamezoeana kiasi inabidi awe anamuaandaa kwanza. pia azingatie kiasi sio kukomoana
Unajua kuwa na wewe lazima ule vizuri, mana pia unatakiwa utoe utelezi wa kutosha tu. Kama mnatumia condom sawa lakini kama sio usimlaum yeye.Ni kweli yaweza kuwa kuzoeana lakini hata nikimuandaa anakuwa vizuri na uterezi wa kutosha ila hayachelewi kuisha na hiyo ndiyo changamoto,na hata yeye anasema haelewi,mwanzo nilihisi amepoteza hamu na mimi lakini hata tendo akilihitaji yeye mambo huwa vilevile
Unadhani nitafanyaje sasa,niondoke juu yake bila kumw.....?Umezidi kutumia muda wa kukaa kifuani, wewe unataka uendelee kupata utamu for one hour?!
Sasa akikaukiwa ndio Unamw…?!Unadhani nitafanyaje sasa,niondoke juu yake bila kumw.....?
SawaUnajua kuwa na wewe lazima ule vizuri, mana pia unatakiwa utoe utelezi wa kutosha tu. Kama mnatumia condom sawa lakini kama sio usimlaum yeye.
Sidhani kama umeongea matusi,na humu kuna watu wazima tu kwahiyo hakuna maana ya kuficha ila ni kupunguza ukali wa maneno tu,Sasa akikaukiwa ndio Unamw…?!
Hili ni tatizo kwa baadhi ya wanawake lakini inaonyesha pengine hujui ku pump, manake ile kitu inakolezwa na moto, jinsi unavyo pump anavyopata utamu ndio inakua moto Hadi unamwaga, sasa kama huisugui vizuri, hapati utamu, haitoi moto/utelezi ndio maana haumwagi mwishoe ni kukaukiwa mkuu,,, umenifanya nimeongea matusi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji4][emoji4]ngoja waje wakupe muongozo jinsi ya kusugua ile kitu