Kwanini mwanamke mwenye miaka 30+ asiolewe?

Mbona Kila siku naona ndoa za wadada wa miaka 30' Sion hao wa umri chin ya hapo au hao mnaowataka nyie mbona hamuwaoi
Wewe umeona ndoa mbili, tatu ndio ufanye conclusion?
Ukweli ni kwamba mwanamke akifikisha 30 anakuwa kama ashazeeka, na ndio maana yule Mwanasaikolojia anasema hana jipya hiyo ni kweli.
 
Wenye 30 wanaolewa ili kuondoa upweke sio kwamba amempenda mwanaume.

Jamaa yupo sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…