GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kijana umepotea kabisa! Hata kwenye vijiwe vyetu hatuonani tena! Kulikoni mkuu wa itifaki??Inasemekana kwamba siku ambayo Mpenzi / Demu / Mkeo akijua kuwa anaenda Kukusaliti / Kubanduliwa na Mwanaume / Njemba mwingine huwa anakuwa anakuchangamkia mno tena kupita kiasi au siyo kama kawaida yake na pia hujifanya anakupenda kuliko maelezo?
Nitashukuru nikijibiwa.
Nawasilisha.
Wakati huo wa kwako yuko kwangu baada ya kukukenulia masaa machache yaliyopita.Kumbe mke wako anakuchangamkiaga akianza kuja kwangu, hiyo mbinu nilimpa mimi wengine hawapo hivyo
Kijana umepotea kabisa! Hata kwenye vijiwe vyetu hatuonani tena! Kulikoni mkuu wa itifaki??
Poa mkuu! Tutafutane bhana! Si unajua tena!Nipo tu Kiongozi na Boss wangu sema tu hapa kati Makinikia na Osoro vilinichanganya kidogo ila jana Barrick amenibariki.
Ndo Mana sasa hv tumeamua kuwa Players
Mambo kujidai kumpenda mtu kihivoo Hell Noo