Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Genta! Nini kimekukumba?Inasemekana kwamba siku ambayo Mpenzi / Demu / Mkeo akijua kuwa anaenda Kukusaliti / Kubanduliwa na Mwanaume / Njemba mwingine huwa anakuwa anakuchangamkia mno tena kupita kiasi au siyo kama kawaida yake na pia hujifanya anakupenda kuliko maelezo?
Nitashukuru nikijibiwa.
Nawasilisha.
Nini kimenikumba au nini kilinikumba?Genta! Nini kimekukumba?
Ni dhamira inamshtaki lakini hiyo pia ni fake play ili mwenzie asishtuke nn kinaendeleaInasemekana kwamba siku ambayo Mpenzi / Demu / Mkeo akijua kuwa anaenda Kukusaliti / Kubanduliwa na Mwanaume / Njemba mwingine huwa anakuwa anakuchangamkia mno tena kupita kiasi au siyo kama kawaida yake na pia hujifanya anakupenda kuliko maelezo?
Nitashukuru nikijibiwa.
Nawasilisha.
Kabisa ni tukio gani la kibaolojia na kihisia mtambuka lilikukumba hivi karibuni komredi?Nini kimenikumba au nini kilinikumba?
Ningekumimbisha?Hana nguvu za kiume huyu
Duuh ni mzuri!?Leo nmeletewa mpaka zawadi, kwahio ametoka kuliwa ama?😂😂😂