Kwanini Mwanamke siku ambayo anamsaliti Mpenzi wake huwa mchangamfu na huongeza upendo Kwake?



Ukweli Mtupu ili umpe ruhusa bila kinyongo
 
Poa mkuu! Tutafutane bhana! Si unajua tena!

Haina noma Mkuu na Boss wangu wa Kazi. Jamaa lakini si alikupa Contacts zangu siku zile au? Namba zako si ni zile zile au? Kuna vitu vichache sana navimalizia na baada ya hapo nitakuwa free sana kwani hata Jamaa nae alisema kuwa akimaliza Papers zake UDSM angependa tukutane wote angalau tudumishe U SAUT na U Darfur wetu na pia tuweze kubadilishana mawazo yenye kuelekea katika ujenzi zaidi.

Tupo pamoja sana Kiongozi wangu na bado naendelea tu kuwatiririsha na kuwasereresha wana JF.
 
Nakuaminia mkuu wangu, ndiyo no zangu ni zile zile! Jamaa hakunipa wakati tunataka kunipa no,alipiguwa na kutoka huko kwao! Akasepa faster kama mshale
 
Nakuaminia mkuu wangu, ndiyo no zangu ni zile zile! Jamaa hakunipa wakati tunataka kunipa no,alipiguwa na kutoka huko kwao! Akasepa faster kama mshale

Usijali nitakutafuta Mkuu wangu wa Kazi na Boss wangu. Jamaa lazima awe busy sasa hivi si unajua tena yanayoendelea?
 
Sio kwamba anakuchekea kukufurahia . Ni kwamba anafurahi anaenda kupata kitu swaaafiii roho inapenda!
Kama avatar yako. Inaonyesha wew bingwa sana wa kuchepuka. Utakipata unachokitafuta
 
Yani sasa hivi ni kuambiana Ukweli Tu Watu wapeane Raha kila mtu aende zake
 
Ni zuga tu ya kukuonyesha kuwa anakujali kumbe anafurahia kimoyomoyo leo nimekamata boya langu
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…