Kwanini Mwanamke siku ambayo anamsaliti Mpenzi wake huwa mchangamfu na huongeza upendo Kwake?

Genta! Nini kimekukumba?
 
Leo nmeletewa mpaka zawadi, kwahio ametoka kuliwa ama?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ni dhamira inamshtaki lakini hiyo pia ni fake play ili mwenzie asishtuke nn kinaendelea
 
Nini kimenikumba au nini kilinikumba?
Kabisa ni tukio gani la kibaolojia na kihisia mtambuka lilikukumba hivi karibuni komredi?

(Kwa unujuma wako, na ulozi pamoja na uganga wa mitishamba ambao mpaka sasa unao, na unaendelea nao kwa Siri)

Ni mwanamk gani asie na akili/pimbi/kiburushuti/kimobiteli/mshabiki wa kolo

Anathubutu kukuumiza kibaolojia na kihisia mtambuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…