Kwanini mwanaume akiwa star anatamani muonekano na hulka za jinsia ya kike

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Shalom,

Inakuawaje mwanaume anapojiona ni star katika fani mfano music, football, movie, Djs na etc hutumia muda mwingi kujibrand na muonekano wa kike mfano nywele, hereni, kujichubua, vipini, kusuka nywele na etc.

Je, wanajukwaa tatizo ni nini ama chachu yake nini.

Ni hayo tu

Wadiz
 

wataje hao unawaongelea.
 
Siku ukijua kuwa mpango wa ibilisi shetani ni kuwageuza wanaume wawe kama wanawake na wanawake wawe kama wanaume, hutauliza tena.

BTW, hao watu maarufu uliowasema wengi wanatamani kuwa wa tofauti katika jamii. Kujitofautisha huko ndo kunawafanya wafanye mambo ambayo ni tofauti kabisa na utaratibu wa uumbaji wa asili wa Mungu
 
Kujiremba ni asili ya mwanaume, sema tu mambo yalibadilishwa na wanamageuzi.

Soma vitabu vya kidini angalia asili ya wanyama wote, dume ni mzuri kuliko jike. Hiyo haipo kibahati mbaya. Ilipaswa kuwa hivyo.

Haiwezekani mbavu ikawa nzuri kuliko mwili wote.
 
Mess,Eto,o, Ronaldo De Lima au umezungumzia baadhi tu?
 
Atari sana unaonekana una historia za zamani zile.
 
Mkuu hivyo ni vigezo na masharti baada ya kuingia makubaliano na wanaensujudia. Sio kama wanapenda ila ni lazima wafanye hivyo kumfurahisha ibilisi.
 
Mademu ndio mashabiki wao wakubwa kwahyo wanahisi wakifanana nao ndio watakua wanaongea lugha moja
N mtazamo wangu tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…