Kwanini mwanaume akiwa star anatamani muonekano na hulka za jinsia ya kike

Kwanini mwanaume akiwa star anatamani muonekano na hulka za jinsia ya kike

Shalom,

Inakuawaje mwanaume anapojiona ni star katika fani mfano music, football, movie, Djs na etc hutumia muda mwingi kujibrand na muonekano wa kike mfano nywele, hereni, kujichubua, vipini, kusuka nywele na etc.

Je, wanajukwaa tatizo ni nini ama chachu yake nini.

Ni hayo tu

Wadiz
Hao tayari wameshavuliwa ubingwa katika safari yao ya kuusaka ustar ndiyo maana hawaoni noma kujibrand hivyo. Si ulimsikia Chid Benz anasema robo tatu ya wasanii wanalika, unaweza kuona ni maneno ya teja lakini ukiangalia swaga zao utaona kuna ukweli.
 
Kujiremba ni asili ya mwanaume, sema tu mambo yalibadilishwa na wanamageuzi.

Soma vitabu vya kidini angalia asili ya wanyama wote, dume ni mzuri kuliko jike. Hiyo haipo kibahati mbaya. Ilipaswa kuwa hivyo.

Haiwezekani mbavu ikawa nzuri kuliko mwili wote.
Mmmmh wewe unabidi ukapimwe MKOJO pale NIMR😁😁😁 Kwana wewe ni Me au Ke au Ladies&Gentlemen😂😂?
 
Mmmmh wewe unabidi ukapimwe MKOJO pale NIMR😁😁😁 Kwana wewe ni Me au Ke au Ladies&Gentlemen😂😂?
Hayo niliyoyaongea yana ukweli au uongo?.
Angalia simba dume alivyo, angalia mbwa yoyote dume alivyo, paka, njiwa, kuku hadi mbuzi nao utarudi kukubaliana nami.
 
Back
Top Bottom