Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Kwa mwanaume makini na halisi hawezi kukataa mimba kwa mwanamke aliyelala nae na kufanya nae tendo la ndoa hakika hawezi kuikataa.
Iko hivi mwanaume mwenye akili timamu ambae anaweza kuikataa mimba ni pale mwanamke unapokuwa kiruka njia yaani unachnganya wanaume kama shanga leo upo na iddi kesho kesy kesho kutwa una joseph au john.
Sasa kwa mwanaume mwenye akili zake akija kujua hili hata kama nikweli ile mimba ni yake na kuhakikishia hataweza kuikubali abadani otherwise huyo mwanaume atakae ikubali hiyo mimba ni fala hajielewi.
Mwanaume akiwa na uhakika yupo mwenyewe na hata kitaa kinajua hivyo hata ukimwambia una mimba yake ataipokea kwa mikono miwili na kwa furaha tele.Hii mara mnafumaniana wanaume zaidi ya2 halafu uje uambiwe nina mimba yako hiyo mimba hakuna atakaye ikubali.
Hivyo ninapo pinga single mother awe dada yangu awe nani kamwe siwezi mtetea single mother.Single mother ni yule aliyefiwa na mme wake tu ninyi mliobaki hamfai kutetewa kwa namna yoyote ile.
Narudia kusema mwananume anaye kataa mimba yake bila sababu moja tajwa hapo juu basi anatatizo au anaogopa majukumu au tumuite ni mvulana hajitambui.
Lakini mwanaume yeyote yule anayekataa mimba kwa sababu tajwa hapo juu huyo ndiye mwanaume halisi mwenye kujitambua na mwenye msimamo thabiti.
Mimi niliwahi kukataa mimba ikiw imebakiza miezi3 tu ajifungue ni baada ya kukamata meseji wakiambiana wakamkomaze mtoto!! Kuanzia hapo nilimwambia aendelee na mshikaji wake na mimi sihusiki tena.
Jamaa aliposikia nishakataa kuhudumia naye akajikataa hana maandalizi yoyote ya kujifungua kwao napo njaa kalii nami nikakaza ileile hadi mwisho.Siku yupo hospital anajifungua ananimbia nikamjibu mimi ndo DR?
Alipojifungua akanimbia njoo uone mtoto wako nikamwambia huyo mtoto atakuwa wa maajabu yaani mtoto mmoja baba zake wawe2?
Bahati mtoto alipozaliwa alinifanana mimi kila kitu nilikomaa kukataa badae sana kama miaka2 na miezi kadhaa ndo nikaona haina jinsi dogo kafanana hadi kigugumizi sio siri tena!!
HAKUNA MWANAUME WA KUKATAA MIMBA UKIONA HIVYO UJUE UMECHANGANYA MAFAILI MWENYEWE AU ULIKUWA UNADATE NA MVULANA.