Sasa kana haujampenda unampa kwa nini?Ila sio wa dar
Nakataa, mapenzi ni upwiru.Mapenzi hisia
Unaweza ukawa na upwiru na usienjoy mapenzi kama uko na mtu ambaye humfeelNakataa, mapenzi ni upwiru.
YeahππHakika mapenzi na hisia
Upwiru huwa ni kufanyiana favours tu
Hahaha,.
wewe wa wapi?Ila sio wa dar
πππUmbea tuSasa kana haujampenda unampa kwa nini?
Mm wangu nampenda bhana Weee πMwanamke Hana Upendo na ww ila anaitaji Vitu ulivyo navyo, au kutimiziwa mahitaji yake. Ndomana wanasema "nataka mwanaume anihudumie"
Nanjilinjiwewe wa wapi?
Kiongozi safar ya wapi sikuiziMwanamke Hana Upendo na ww ila anaitaji Vitu ulivyo navyo, au kutimiziwa mahitaji yake. Ndomana wanasema "nataka mwanaume anihudumie"