fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,699
- 9,323
huo utafiti uliufanya lini?Mwanaume anaweza ku-do mara 100 na mwanamke ila katika 100 hizo ni mara 20 ndio unakuta mwanamke alikuwa na appetite na utayari wa kweli.
Yani ni kama Mwanaume ni sex machine inayotembea muda wote yupo tayari ila mwanamke hisia zake hadi azicollect at a specific time ndio maana muda mwingine anakupa tu ili usijisikie vibaya au usimuache, etc,
Lakini all in all hakuna mapenzi bora pale mtakapo kutana wote mko katika appetite lakinio ndio hivi kwa bahati mbaya its very rare kwa maana hata mwanamke akiwa na appetite hawezi kukuambia.
View attachment 3293345
Yani kama ruba Kila mtu akikutema umo tu πππndo maana wanaume wanafumaniwa sana sio kwamba hatuoni red flag bas tu unamganda mtu had Kero mwisho had unamfuma na chakalake jipya lkn BadoππUnapigwa matukio Ila umeng'ang'ania ππ
Sema hizo ni love stories za kipindi flani. Huku ukubwani tunakutana wote tushapigwa matukio kwa hiyo kila mtu anapenda kwa tahadhari. Kwa sababu ukijaa kwenye mfumo umeisha
Hata jf tu huwa sicomment sana kwenye hizi shida maana najua issue za hisia haizihitaji akili. Unasema A, Ila ukibananishwa, unaishi kwenye mfumo BHakika mkuu wanawaake wako reserved.
ππ
Uko vizuri mzee anzisha podcast ya mahusiano tukusupport
Kabisa kilakitu kiwe na kiasi aiseeAna high libidoo huyo
Bongo nyoso mkuuππHata jf tu huwa sicomment sana kwenye hizi shida maana najua issue za hisia haizihitaji akili. Unasema A, Ila ukibananishwa, unaishi kwenye mfumo B
Kuhusu podcast unataka unijaze mwisho ife ikiwa na 40 listeners π
Yeah wanawake huwa mna strong instincts na mnajua kufuatilia details kiasi ukiona hata kifungo cha shati kimefungwa tofauti na utaratibu, unajua kuna namna.Yani kama ruba Kila mtu akikutema umo tu πππndo maana wanaume wanafumaniwa sana sio kwamba hatuoni red flag bas tu unamganda mtu had Kero mwisho had unamfuma na chakalake jipya lkn Badoππ
ππππHamu ya mwanamke inakuwa tiggered na pesa, toa pesa ya uhakika uone, kila wakati ana hamu.
ππππHamu ya mwanamke inakuwa tiggered na pesa, toa pesa ya uhakika uone, kila wakati ana hamu.
EtiiiπππππππNi issue ya hormones tu hata hao wanaume Kuna wengine wako kama hao wanawake uliowaelezea .
Pia Kuna wanawake wanapenda mashine balaa hasa wale kutoka dini ya munyaazi ila akiwa kwenye ndoa
Ni kweli kabisa yaani ni wafatiliaji sana ila kuwa ving'ang'aniz ili halikwepeki utakuta na Bado utalia na utakaa hapo hapo πππYeah wanawake huwa mna strong instincts na mnajua kufuatilia details kiasi ukiona hata kifungo cha shati kimefungwa tofauti na utaratibu, unajua kuna namna.
Ila huwa nawaambia watu tu, usimchunguze sana mtu kama haupo tayari kumuacha maana wengi huwa naona wanaishia kuteseka tu na pengine kuomba msamaha wakati wao ndio wamekosewa
Naunga hoja Kwa asilimia zoteMwanamke Hana Upendo na ww ila anaitaji Vitu ulivyo navyo, au kutimiziwa mahitaji yake. Ndomana wanasema "nataka mwanaume anihudumie"
Huko ulipo hakuna wanawake mkuuHizi mada mi hazinifai aisee
Nipo mbali na mwanamke kama miaka mitano hvi
Kwenye Maisha Yangu mpaka nitaingia kaburini, siamini ktk Upendo wa mwanamke.Mm wangu nampenda bhana Weee π