Kwanini mwanaume na mwanamke hawafanani hamu ya ngono?

Mwanamke mmoja hawezi kumtosheleza mwanaume kingono. Kwenye suala la sex, kuliko mume kuchepuka na kubomoa familia, suluhisho la busara zaidi ni mwanaume kuoa wake wengi.
 
Mkuu mapenz sio huduma na hisia pia.
Kwangu kudate na mtu simfeel siwez kabisa na hata akiwa ananipendaa kias ni ngumu

Pesa zinanogesha penzi pia ukweli usemwe Sasa mtu anatak chungwa ndo huna hata mia kweli πŸ˜ƒlakn sio kigezo Cha kufanya mtu apendwe au asipendwe

Wakat mwingine mapenz ni namna unavomtreat mtu anavojifeel Yuko sehemu salama anaapokuwanna wewe hapa ndio maana watu wenye pesa wanasalitiwa pia
 
Huo ni mtazamo wangu, na ninavyoamini ktk akili yangu.
Mwanamke atesema anakupenda endapo utamtimizia mahitaji yake na Vipaumbele vyake, Binafsi yangu huwa siamini ktk Upendo wa Mwanamke, Bora ya mbwa au Ng'ombe mnyama hata mbuzi, kuku, kondoo anaweza akukupenda Bila kumpa kitu, ila sio mwanamke.
 
Tumefikia kuona kondoo ni Bora kuliko sisi mkuu πŸ˜ƒ
 
Hii picha uliichukua kwenye chanzo kipi, mbonajamaa kama anabaka?
 
Unaweza ukawa na upwiru na usienjoy mapenzi kama uko na mtu ambaye humfeel
Sasa na feelings nazo zimeachana pia.

Mi hisia zangu huamshwa kiushindani na vurugu.

Yaani nipate mwanamke maringo maringo, natongoza ananijibu nyodo na kuntolea nje.

Huyo nikimpata hisia zangu zinapanda maradufu kuliko ninayempata mstaarabu bila jasho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…