Kwanini Mwanza magari mengi ni Kluger?

We vip? hata serikali hainunuwi magari ya hiyo miaka 2020 to 2022, hata Japan licha ya kutegeneza hizo gari uchumi wao hauwaruhusu kuendesha matoleo mapya, pake wana export new brand cars to Europe na America only to bring them back to refubricate en re-xport in third world, kwa level za Africa na Tz Kurruger sio gari ya bei ya chini ina rage 23m paka 30. wakati specio ist mazda in 12m rav4 18m
 
Mtu umemalza sekondari 2005 to 2010 Mungu kakujalia ajira / kipato /pesa 2020 to toda afu unaenda kununua gar ya 2000 to 2014 af tunasema reliable akuna cha reliable ni umaskini tu ndo ttzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…