Kwanini Mwenyekiti wa Vilabu African Eng. Hersi hajatoa pongezi kwa Simba hadi sasa?

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
7,376
Reaction score
16,539
Eng. Hersi ni mwenyekiti wa Vilabu Afrika,inashangaza hadi sasa hajatoa pongezi kwa club ya Simba kutinga fainali.

Eng. Hersi anatakiwa kujivunia kuwa na timu kubwa kutoka nchini kwake maana hii inamwongezea CV kwa hatua ambazo Simba wamefikia.
 
Wabongo tuji funze ku mind our own business, jambo lako mwenyewe, lime kufurahisha mwenyewe still una taka pongezi za mtu ili iweje?

hizo pongezi za hersi zita ongeza au kusaidia nini?, halafu huwezi mlazimisha mtu afanye kile unacho taka kisa kuridhisha matarajio yako.
KWa cheo chake cha mwenyekiti wa vilabu afrika lazima atoe pongezi kwa wana lunyasi tumepeperusha vyema bendera ya nchi na afrika mashariki kwa ujumla
1000274937.jpg
 
Wabongo tuji funze ku mind our own business, jambo lako mwenyewe, lime kufurahisha mwenyewe still una taka pongezi za mtu ili iweje?

hizo pongezi za hersi zita ongeza au kusaidia nini?, halafu huwezi mlazimisha mtu afanye kile unacho taka kisa kuridhisha matarajio yako.
Hii tabia sijui inatokea wapi, mbona wazungu hawana hizo tabia
 
Wabongo tuji funze ku mind our own business, jambo lako mwenyewe, lime kufurahisha mwenyewe still una taka pongezi za mtu ili iweje?

hizo pongezi za hersi zita ongeza au kusaidia nini?, halafu huwezi mlazimisha mtu afanye kile unacho taka kisa kuridhisha matarajio yako.
Unaelewa nafasi ya Hersi lakini
 
Kwani katiba inasemaje kuhusu ilo jambo?
Tuanzie hapo.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Atakufa na chake kijiba, 🦁 walee final.
😂😂😂😂😂😂
 
Eng. Hersi ni mwenyekiti wa Vilabu Afrika,inashangaza hadi sasa hajatoa pongezi kwa club ya Simba kutinga fainali.

Eng. Hersi anatakiwa kujivunia kuwa na timu kubwa kutoka nchini kwake maana hii inamwongezea CV kwa hatua ambazo Simba wamefikia.
Mangungo na mo walifanya hivyo?
 
Eng. Hersi ni mwenyekiti wa Vilabu Afrika,inashangaza hadi sasa hajatoa pongezi kwa club ya Simba kutinga fainali.

Eng. Hersi anatakiwa kujivunia kuwa na timu kubwa kutoka nchini kwake maana hii inamwongezea CV kwa hatua ambazo Simba wamefikia.
Utakuja upigwe bure utupwe msituni ebu kaa kimya!
 
Back
Top Bottom