CV gani bhn , yaani Watu mtaopoteza kombe kwa Mkapa tuwapongeze tenah....Ngoja siku ya fainali si atagawa medali utamuonaEng. Hersi ni mwenyekiti wa Vilabu Afrika,inashangaza hadi sasa hajatoa pongezi kwa club ya Simba kutinga fainali.
Eng. Hersi anatakiwa kujivunia kuwa na timu kubwa kutoka nchini kwake maana hii inamwongezea CV kwa hatua ambazo Simba wamefikia.
Kwa wadhifa wake anatakiwa kuipongeza timu itakayokuwa bingwa ,siyo iliyofika fainaliEng. Hersi ni mwenyekiti wa Vilabu Afrika,inashangaza hadi sasa hajatoa pongezi kwa club ya Simba kutinga fainali.
Eng. Hersi anatakiwa kujivunia kuwa na timu kubwa kutoka nchini kwake maana hii inamwongezea CV kwa hatua ambazo Simba wamefikia.
Mwenyekiti wa vilabu Afrika atoe pongezi Kwa timu 1 kwenye tukio linalohusisha timu 2 zilizo chini yake? Hizi akili huwa mnatumia za upande gani? Lini umeona Mossepe ametoa pongezi Kwa Mamelody kuingia fainali akaiacha Pyramid?Eng. Hersi ni mwenyekiti wa Vilabu Afrika,inashangaza hadi sasa hajatoa pongezi kwa club ya Simba kutinga fainali.
Eng. Hersi anatakiwa kujivunia kuwa na timu kubwa kutoka nchini kwake maana hii inamwongezea CV kwa hatua ambazo Simba wamefikia.
Kama ingekua klab ya simba imefanikiwa kuiwakilisha Africa katika michuano mingine nje ya Africa hapo angestahili lawama kwa kutopongeza ila kwahili hata kama simba itachukua kombe halazimiki kuipongeza kwa nafasi yake.Eng. Hersi ni mwenyekiti wa Vilabu Afrika,inashangaza hadi sasa hajatoa pongezi kwa club ya Simba kutinga fainali.
Eng. Hersi anatakiwa kujivunia kuwa na timu kubwa kutoka nchini kwake maana hii inamwongezea CV kwa hatua ambazo Simba wamefikia.
Hersi anapaswa kutoa pongezi kwa Bingwa wa kombe na sio mfuzu. Basi na mamelodi apongezwe.Eng. Hersi ni mwenyekiti wa Vilabu Afrika,inashangaza hadi sasa hajatoa pongezi kwa club ya Simba kutinga fainali.
Eng. Hersi anatakiwa kujivunia kuwa na timu kubwa kutoka nchini kwake maana hii inamwongezea CV kwa hatua ambazo Simba wamefikia.wa simba
Haji Manara 'wenye akili ni wawili tuu 'Wewe ni K K K K K K K K K K M M M M M M M M M M
Wenzio walifanya kisa pesa tukazi hii mimi sifanyi hata kwa sawa!
Mbaba ana wivu hatareeEng. Hersi ni mwenyekiti wa Vilabu Afrika,inashangaza hadi sasa hajatoa pongezi kwa club ya Simba kutinga fainali.
Eng. Hersi anatakiwa kujivunia kuwa na timu kubwa kutoka nchini kwake maana hii inamwongezea CV kwa hatua ambazo Simba wamefikia.