Kwanini Mwigulu peke yake?

Wivu tu , msonyooo amefanya kosa gani ameua? Ni mwanadamu Anajisahau amezungukwa na wenye aKili ndogo anatakiwa abadilike sio kutolewa

Wewe ndio utajenga uchumi wa Nchi na kutulisha watanzania nikimpleka Kua kiongozi wa ukoo wetu
Kama unaona mwigu Hana hadhi ya kuongoza ukoo wenu iweje atoshe Kwa Tanzania nafasi ya uwaziri?

Charles KIMEI au Dr Assad watatuvusha ktk wizara hiyo. Watamshauri vizuri kiongozi wetu.

Ameeeen
 
Watwambie pia kama Dr. mwigulu Nchemba alifanya maamuzi peke yake bila ridhaa ya baraza la mawaziri wala bunge kupitisha.
Mwigulu anasimamia kile kilichokubaliwa na wengi ndani ya ccm, baraza la mawaziri na bunge.
 
Kama unaona mwigu Hana hadhi ya kuongoza ukoo wenu iweje atoshe Kwa Tanzania nafasi ya uwaziri?

Charles KIMEI au Dr Assad watatuvusha ktk wizara hiyo. Watamshauri vizuri kiongozi wetu.

Ameeeen
Ukaskazini hatuutaki. Dr. nchemba ndio waziri na ndio nguzo ya uchumi wa tanzania kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…